Recent content by kimbweto

  1. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Upendeleo wa wazi unaua ngumi nchini

    Nimekuwa mdau wa Vitasa LIVE baada ya Azam TV kuonyesha mchezo huo ubabaishaji umekuwa mkubwa, mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea mabondia wetu wanapopigwa. Ushauri, kama upendeleo utaendelea mchezo huu utakufa na hautofuatiliwa.
  2. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya nchi inazuia kaka kumuoa dada?

    Dhumuni kufahamu taratibu za kisheria mbona wanipa laana
  3. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya nchi inazuia kaka kumuoa dada?

    Wanasheria na wenye elimu juu ya hili, sheria ipi inamzuia kaka kumuoa dada. Msaada
  4. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno January

    nimecheka sana daaa[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno January

    Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno mwezi January .Usiwe na hasira lakini
  6. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Naomba "sample" ya kujitambulisha vizuri na kuelezea elimu yangu kwa Kiingereza

    Wana JF naomba sample jinsi ya kujitambulisha kiingereza na kuelezea elimu yako,natanguliza shukrani
  7. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza kujikinga na radi?

    Mara nyingi inapotokea radi nashindwa kujua kipi kifanyike,zamani nilikuwa napaka mkaa kichwani sasa sijui kama ilikuwa sahihi,siku nyingine nilikuwa najificha nyuma ya kondoo,nikiaminishwa kondoo anampiga radi,wengine walikuwa wanasema watoto mapacha wanazuia radi sasa naomba ushauri wa...
  8. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe atampiga leo Kiduku

    Dullah Mbabe atashinda crown leo,Gari halitoenda Morogoro,wale tunawapelekea treni ya mwendokasi.Poleni sana ndugu zangu wa Morogoro,taratibu naomba msivunje TV
  9. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Asalaam Alaykum walahmatullah wabarakatuh, Ndugu zangu dawa ya Covid ni Ibada kumuabudu Allah Subuhana wataala, Mazoezi na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya na madaktari ukizingatia hayo basi utafanikiwa Inshallah.
  10. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wazee wa Simba

    Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani Mzee Mpili afanye anayoyafanya hali ya kuwa nyinyi mpo mmeinamisha kichwa chini mkituacha tukiwa na...
  11. kimbweto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanene tunanyanyasika sana

    ha ha ha ha
  12. kimbweto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanene tunanyanyasika sana

    Wanaume wanene tunanyanyasika sana,ukiwa unakula kitu kizuri anapita mwembamba utasikia,"Unaharibu mwili wewe".Nikipata dada mzuri hata kabla ya kufurahi naye utasikia hee"We mnene kweli punguza tumbo,bila hata ya kujali tumbo linabonyea. Mara nyingi tukiwa kwenye makundi tunashindwa kula kwa...
  13. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga muwasajili wachezaji hawa sa Simba

    Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza 1.Miraji Athuman 2.Hassan Dilunga 3.Jonas Mkude 4.Ibrahim Ajib 5.Kahata 6.Said Ndemla 7.Gradiel Michael Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
  14. kimbweto

    JamiiForums Tanzania Sisi mashabiki wa Yanga tunaitaka mechi na Smba ichezwe

    Ndugu viongozi,kwa heshima na taadhima tunaomba timu ije uwanjani tucheze na watani.Hizi figisu za kusema mechi imeisha tarehe 08 hazipo sawa,siyo kiushabiki,mpira burudani kutochezwa mechi ni kunyimana burudani.Tusiwakimbie tucheze
  15. kimbweto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada acheni kuagiza vinywaji au vyakula vya gharama mkipewa ofa

    Imenitokea jana nimekutana na dada ambaye tumesoma naye nikaenda naye kwenye bar ya karibu,matokeo yake kaanza kuagiza vinywaji hata majina ana babaika,kiungwana wanaume tulio wengi uwezo wetu ni hizo bia za buku jero,lakini huo ni ulafi,ujumbe huu muuzingatie wanawake,mkipewa offer mjue kuagiza...
Back
Top Bottom