Viongozi wa Yanga muwasajili wachezaji hawa sa Simba

kimbweto

Member
Oct 6, 2012
53
189
Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
 
Hapana,hyo ni ujinga wa mwisho ambao yanga hawataweza kuufanya
 
Hata Ihefu nayo ni timu! Wakasajiliwe huko. Unamsajili mchezaji asiyejitambua kama Ibrahimu Ajibu, ili ugundue nini?
 
Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
Labda Waende Namungo
Hatutaki makombo
 
Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
Maduka hayo yote.
 
Imeniuma sana kusikia kuwa Simba wamemuacha Kahata. Afadhali wangemrudisha Chikwende arudi kwao na wakatuachia Kahata wetu. Alikuwa ananogesha biriani na hasa pale anapokuwepo Kahata, Mkude, Chama na Konde Boy pale kwa Mkapa.
Wachezaji hao wakienda Yanga, itakuwa ni timu yenye upinzani mkubwa na Yanga wataanza kulipenda biriani. Biriani tamu bwana asikwambie mtu na hasa pale mnaongoza tatu bila na mnalikung'uta biriani la nguvu, we acha tu. Raha hii Yanga hawaijui, wanaisikia redioni tu.
Kwa maoni yangu naona timu yangu imefanya kosa kubwa sana kumuacha Kahata na hizi ni hisia za washabiki wengi wa Simba. Kwa kweli mmetukosea sana sisi wapenda biriani na sambusa.
 
Kahata, Chikwende na Kagere wote wanaondoka ili kuachia nafasi za usajili za kwa wachezaji wa kigeni wawili ambao ni Fraga na Kabangu wa Congo.
 
Kwa aina ya Soka la Yanga wanaoweza kufiti pale Yanga ni Ajibu, Kagere na Gadiel.

Ndemla na Mkude wana damu zaidi ya Simba wanaweza wakawa mawakala wa kuihujumu Yanga. Hata huyo Ajib kunawakati mwili wake ulikuwa Yanga lakini roho yake ilikuwa Simba
 
Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
... hivi Miraji yuko wapi?
 
Back
Top Bottom