Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno January

Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno January

january makamba ni waziri wa nishati
 
January ni mwenzi ambao una siku zaidi ya 40 kwa mwaka huu... maana hiyo siku ya 40 ilikuwa siku zileeee kwenye ile hafla....
 
January haisomeki naishi kunyonge nakumbuka starehe nilizosaza sikukuuu ya Krismass na mwaka mpya
 
Back
Top Bottom