Wanaume wanene tunanyanyasika sana

kimbweto

Member
Oct 6, 2012
46
150
Wanaume wanene tunanyanyasika sana,ukiwa unakula kitu kizuri anapita mwembamba utasikia,"Unaharibu mwili wewe".Nikipata dada mzuri hata kabla ya kufurahi naye utasikia hee"We mnene kweli punguza tumbo,bila hata ya kujali tumbo linabonyea.

Mara nyingi tukiwa kwenye makundi tunashindwa kula kwa kujiachia kuhofia watu mwisho wa siku tunabeba sana take away,kwenye jogging club nyimbo zote za fedheha zinatuhusu,kwenye post card hatujawahi kuwekwa,na hatutumiki kwenye matangazo ya kuonyesha upendo zaidi ya kuwekwa kwenye kopo la maziwa,sisi wenyewe tumejikubali kwa kukubali kupata shida kuinama,kufunga kamba za viatu,kuhemea juu juu,kushindwa kukimbia kula mzigo kwa shida

Lakini kiukweli sisi wanaume wanene ni ishara ya uvumilivu kwani uwezo wa kuzulula na matumbo yetu ni ushujaa tosha,mwisho wa siku wanene sisi tuna vimbinu vya kupata pesa.Wanaume wanene hoyeeeee
 
google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,699
2,000
wanaume wanene tunanyanyasika sana,ukiwa unakula kitu kizuri anapita mwembamba utasikia,"UNAHARIBU MWILI WEWE".Nikipata dada mzuri hata kabla ya kufurahi naye utasikia hee"WE MNENE KWELI PUNGUZA TUMBO,bila hata ya kujali tumbo linabonyea.Mara nyingi tukiwa kwenye makundi tunashindwa kula kwa kujiachia kuhofia watu mwisho wa siku tunabeba sana take away,kwenye jogging club nyimbo zote za fedheha zinatuhusu,kwenye post card hatujawahi kuwekwa,na hatutumiki kwenye matangazo ya kuonyesha upendo zaidi ya kuwekwa kwenye KOPO LA MAZIWA,Sisi wenyewe tumejikubali kwa kukubali kupata shida kuinama,kufunga kamba za viatu,kuhemea juu juu,kushindwa kukimbia kula mzigo kwa shida LAKINI KIUKWELI SISI WANAUME WANENE NI ISHARA YA UVUMILIVU KWANI UWEZO WA KUZULULA NA MATUMBO YETU NI USHUJAA TOSHA,Mwisho wa siku wanene sisi tuna vimbinu vya kupata pesa.WANAUME WANENE HOYEEEEE
Pole na hongera kwa kujikubali ila nimeona yale masanamu yanayovalishwa nguo kumbe yapo na yenye miili mikubwa ? Daaaaah hongeren sana kwa hatua hiyo
 
google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,699
2,000
wanaume wanene tunanyanyasika sana,ukiwa unakula kitu kizuri anapita mwembamba utasikia,"UNAHARIBU MWILI WEWE".Nikipata dada mzuri hata kabla ya kufurahi naye utasikia hee"WE MNENE KWELI PUNGUZA TUMBO,bila hata ya kujali tumbo linabonyea.Mara nyingi tukiwa kwenye makundi tunashindwa kula kwa kujiachia kuhofia watu mwisho wa siku tunabeba sana take away,kwenye jogging club nyimbo zote za fedheha zinatuhusu,kwenye post card hatujawahi kuwekwa,na hatutumiki kwenye matangazo ya kuonyesha upendo zaidi ya kuwekwa kwenye KOPO LA MAZIWA,Sisi wenyewe tumejikubali kwa kukubali kupata shida kuinama,kufunga kamba za viatu,kuhemea juu juu,kushindwa kukimbia kula mzigo kwa shida LAKINI KIUKWELI SISI WANAUME WANENE NI ISHARA YA UVUMILIVU KWANI UWEZO WA KUZULULA NA MATUMBO YETU NI USHUJAA TOSHA,Mwisho wa siku wanene sisi tuna vimbinu vya kupata pesa.WANAUME WANENE HOYEEEEE
Sio mbaya unayo sehemu ya kufutia simu yako
 
ricostersundi

Senior Member
Feb 15, 2017
198
250
wanaume wanene tunanyanyasika sana,ukiwa unakula kitu kizuri anapita mwembamba utasikia,"UNAHARIBU MWILI WEWE".Nikipata dada mzuri hata kabla ya kufurahi naye utasikia hee"WE MNENE KWELI PUNGUZA TUMBO,bila hata ya kujali tumbo linabonyea.Mara nyingi tukiwa kwenye makundi tunashindwa kula kwa kujiachia kuhofia watu mwisho wa siku tunabeba sana take away,kwenye jogging club nyimbo zote za fedheha zinatuhusu,kwenye post card hatujawahi kuwekwa,na hatutumiki kwenye matangazo ya kuonyesha upendo zaidi ya kuwekwa kwenye KOPO LA MAZIWA,Sisi wenyewe tumejikubali kwa kukubali kupata shida kuinama,kufunga kamba za viatu,kuhemea juu juu,kushindwa kukimbia kula mzigo kwa shida LAKINI KIUKWELI SISI WANAUME WANENE NI ISHARA YA UVUMILIVU KWANI UWEZO WA KUZULULA NA MATUMBO YETU NI USHUJAA TOSHA,Mwisho wa siku wanene sisi tuna vimbinu vya kupata pesa.WANAUME WANENE HOYEEEEE
 
mkombengwa

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
2,021
2,000
Sipati picha unakuwa na kajipu hapo mbele... Maana katakuwa kamezamishwa kote, kamebaki katundu kakukojolea tuu (utani Mkuu)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom