Mbona barua yake na ya Zitto zinakuwa kama zimefanana ukiondoa mambo machache ya nyongeza aliyoandika Bashe. Je walishauriana? Je aliyekopi kwa mwenzake ni nani? Ni njia ya kupata umaarufu wa kiasiasa? All in all wameonyesha kukerwa na hali hiyo. Wahusika wachukuliwe hatua kali kwa kuzingatia...
Kiwembe cha aina gani hicho. Uchunguzi wa kina ufanyike. Mtu anapigwa risasi tumboni au kukatwa na panga kichwani anapona; huyo wembe tu!!!!!! Allah ailaze roho yake mahali pema peponi. Inallilah wa ina ilayh rajiuun
Suala la lugha sasa limekuwa issue. Tusisitize matumizi ya Kiswahili. Wakalimani wawepo period. Mbona wengine wanaongea lugha zao hata kama wanajua Kiingereza? Cases of China, Korea, Russia, France, Spanish, Portuguese, German, etc.
Uzushi kama huu umeenea katika Utumishi wa Umma mzima. Unatakiwa utafutiwe "dawa" kwani wapo watumishi wengi sana wamefukuzwa kazi, wamesimamishwa kazi, wamestaafishwa kazi au kushushwa vyeo kutokana na majungu ya kupikwa tu. Wengi wa watu hawa ni wale waadilifu na wachapakazi. Anayefukuzwa kazi...
Nashauri sasa tujikite kuimarisha Kiswahili. Mkakati wa kwanza uwe kuwalazimisha Watanzania wote kutoa mada zao kwa Kiswahili popote pale nchini. Pili teknolojia ya kutafsiri Kiswahili kwa lugha nyingine kubwa za kimataifa kama vile Kiingereza; Kifaransa; Kispaniola; Kichina; Kijerumani n.k...
Ukiwasilisha fomu Sekretarieti uwe na dispatch. Hata mimi ilishanitokea kudaiwa sijawasilisha wakati nilishawasilisha. Nadhani bado fomu zinapokelewa manually. Wajaribu kuziandaa zijazwe electronically na kurejeshwa kimtandao pia. Nao watoe barua ya kukiri kupokea ndani ya wiki 2 baada ya kuzipokea
Sheria husika irekebishwe ili mtumishi yeyote wa umma ajaze fomu hizi. Wapo "makarani" ambao wanawezs kuwa na mali au madeni yasiyoendana na vipato vyao. Pia nashauri Sekretariat iongezewe nguvukazi ili waweze kuhakiki mali na madeni ya watumishi wa umma kila mwaka hata kwa sampuli(sample of the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.