Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
JE WAJUA?? Kuna kitu Wachina na Wajapan wakifanyaga kama tiba Na Kinga KINAITWA ''Onion Sock'' YAANI SOKSI ZA VITUNGUU, unakata kitunguu maji shepu kama duara, halafu unaweka chini ya unyayo wa miguu (misafi) halafu unavalia na sox;
hapa unalala mpaka asubuhi ndio unatoa (kwa wale wanaoamka kukojoa usiku sijauliza watafanyaje ili kukanyaga chini)
kwa mujibu wa Bliss Health unyayo wa mguu una nguvu kubwa sana mwilini na umeungana moja kwa moja na organs zote za ndani ya mwili kuanzia kwenye ubongo.
Maajabu ya zoezi hili ni kusafisha damu mwilini, kutoa sumu na kuponya homa zinazojirudia mara kwa mara . SHARE NA WENGINE WAPATE AFYA.