Jeshi la Polisi washirikiana na Interpol kunasa wahalifu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na shirika la polisi la kimataifa Interpol ukanda wa kusini na mashariki mwa Afrika wamefanya operesheni maalum waliyoiita usalama na kukamata watu 265 kwa makosa mbalimbali ikiwemo wasafirishaji wa binadamu, dawa za kulevya na wezi wa magari.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom