Naona huu ndio muda wa wahandisi kupata ulaji maana kila mkurugenzi ni mhandisi, haya kila enzi na zama zake
malengo tofauti yapi,mambo ya kupima viwanja wanasimamia CDA sheria zote za ujenzi wa miundombinu wanasimamia CDA wakati ni kazi ya almashauriWhy kue na conflict of interest kati ya CDA na halmashaur wakati ni vyommbo viwili tofauti vyenye malengo tofauti...
You seem to be terribly tribalism oriented, which is very unhealthy for our mother Tanzania!!!!! It is a shame. Please avoid such inciting statements else you should be move to South Sudan or Kenya.ni kabila gani?
am just asking my dear? nothing personalYou seem to be terribly tribalism oriented, which is very unhealthy for our mother Tanzania!!!!! It is a shame. Please avoid such inciting statements else you should be move to South Sudan or Kenya.
Mi naona shida ni hakukua na uwajibikaji kama taasisi nyingi za serikali zilivyokua, its possible kwa taasis zote kuset boundaries na malengo kufikiwamalengo tofauti yapi,mambo ya kupima viwanja wanasimamia CDA sheria zote za ujenzi wa miundombinu wanasimamia CDA wakati ni kazi ya almashauri
eti ustawishaji wa makao makuu,hiyo CDA ipo tangu enzi za nyerere na makao makuu hayajaamia dodoma
Kweli kabisa!, yaani Halmashauri ya Manispaa na CDA ni sawa na paka na panya. Wanawadhurumu wananchi kuhusu ardhi, haya mengine Mh rais angekuwa anawasikiliza vizuri wananchi wa pale kuhusu ugomvi wa ardhi na viwanja unaoendeleauwiiiiiiiii.. magu unatakiwa uende kwanza dodoma ukajue kero za ardhi na cda kwa wananchi kwanza.. pale ni kuna majipu ya kutosha eti... kumteua director kabla ya kuwatumbua waliokuwepo ni sawa kuhalalisha ubabe na rushwa vilivyoshamiri kule makao makuu. hakika cda ni moja ya taasisi za umma zisizokuwa ta tija wala faida kwa wana dodoma.. vunjilia mbali...
Unataka kutambika?ni kabila gani?