Unajua hata Ethiopia walijitia ujuaji hivyo. Sasa ona. They used to say, we are building an electric SGR, our economy is good, our Debt to GDP is way below.... Now see
Really!? Huo ni ushabiki tu. Wallahi hujawazia hayo mambo kindani. Debt huja kwa kila taifa kwa mda wa miaka kama 5 hivi baada ya kufanya miradi mikubwa kwa deni!
Kweli Tanzania wanajaribu mambo kadha, ambayo nyingi pia ni ya mkopo ambao miaka mitano ijayo itakuwa ikiwasumbua. Kenya sahi ipo hapo tayari. Tanzanian wakifika pale, Kenya nayo itakuwa ikifanya makubwa zaidi. Ila kwa miji, Dar kweli ipo nyuma sana ukilinganisha na Nairobi. Mbali tena sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.