sitaki kutoa povu wala mate, Hakika wewe nawe ni CHANGUBABA, NADHANI JINA HILO LITAKUFAA. Kuoa si kujaribu kama unavyojaribu kiatu kama kinatosha, maana kisipotosha unabadilisha. lakini kuoa ni kuungana ktk mwili na roho pia, kama utabahatika kuoa huyo CD ukawa na future nzuri nakushauri...