Nilisha sema na leo nasema tena!"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa, hata hivyo huwa hauachi kufika, unahitaji kiwango kidogo cha uvumilivu na hekima kwenye kuusubiri".
Kama silaha imeingia kutoka china na bado majeshi yetu na usalama wa Taifa hawakuweza kung'amua, itakuwa sahihi kusema kuwa hata bomu ambalo chagonja amekiri kuwa linatoka china usalama na majeshi haya havikuweza kuyaona.
Kuna mtu alinitumia wimbo unaitwa "Navumilia tu", una huzuni nyingi ukiusikiliza ila una maafundisho ndani yake.
Una maneno "Navumilia tu, ila haya yana mwisho"