nashauri huyu bwana angejitokeza adhalani amwage sumu na aiwe kinga kwake kwa sababu asipo fanya hivyo itakuwa hatari kwake ni bora angemwaga siri adhalani mpaka ccm wajue na waogope kumuua na ikitokea ameuwawa tutajua ni ccm ndio wamemuua.
CCM wamechoka kama Pinda alivyoliambia bunge, ndiyo maana kila kitu kipo wazo!
Ugaidi walioufanya Arusha mpaka ukanaswa na vyombo vya habari ni kuchoka kwao
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nilisha sema na leo nasema tena! "Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa, hata hivyo huwa hauachi kufika, unahitaji kiwango kidogo cha uvumilivu na hekima kwenye kuusubiri".
Kama silaha imeingia kutoka china na bado majeshi yetu na usalama wa Taifa hawakuweza kung'amua, itakuwa sahihi kusema kuwa hata bomu ambalo chagonja amekiri kuwa linatoka china usalama na majeshi haya havikuweza kuyaona.
Kuna mtu alinitumia wimbo unaitwa "Navumilia tu", una huzuni nyingi ukiusikiliza ila una maafundisho ndani yake.
Una maneno "Navumilia tu, ila haya yana mwisho"
Maskini kijana wa kiislamu hujui uendako umefumbua macho umeona dunia ni mahali boraa pa kuishi umesha jitengenezea Chadema ndio mungu wako pole mkuu ni utoto unakusumbua kujitengenezea mungu mwingine sio lazima sanamu hata chadema unaweza kufanya awe ni mungu wako!Mkuu Mungi
Mimi huwa najiuliza bila kupata majibu! Hivi kweli think tank ya ccm ni kina @Mwingulu nchemba na @nnauye jr?! Hivi watu kama kina mzee Butiku au SAS wanayafurahia haya maovu?! Kwa akili za kina Nape na Mwigu ni haki yao kutokana na upeo wao.
wanacho takiwa ccm kujua, huwezi kuwafanyia umafia wananchi halafu wakaujua umafia wao halafu wananchi hao waendelee kuunga mkono umafia.
Haya maswali muulize Mbowe na Slaa kwamba haya mambo mnayofanya kwa sasa mfano swala la Soweto Mtei anayajua?Mkuu Mungi
Mimi huwa najiuliza bila kupata majibu! Hivi kweli think tank ya ccm ni kina @Mwingulu nchemba na @nnauye jr?! Hivi watu kama kina mzee Butiku au SAS wanayafurahia haya maovu?! Kwa akili za kina Nape na Mwigu ni haki yao kutokana na upeo wao.
wanacho takiwa ccm kujua, huwezi kuwafanyia umafia wananchi halafu wakaujua umafia wao halafu wananchi hao waendelee kuunga mkono umafia.
Mbaya sana hii.