BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
mahari kitu gani, unavunja uchumba
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
unamchiti makusudi ili akupige chini...
Hakuna perfect Man kwenye ulimwengu huu,kama hiko kitu kinachokurudisha nyuma kinafaa kusuluhisha fanya ivyo,,usije ukaruka majivu ukakanyaga moto,,
Details details dada!
As simple as you have presented, unavunja uchumba na kurudisha mahari! au
Unaendelea na ndoa na 1: Kulive miserable
2: Kuhope na kupray kuwa atabadilika siku moja
Maamuzi magumu sana hapo,ilikuwaje ukakubali hadi mahari ikapelekwa?maamuzi kama hayo kumbuka yakuleta shida wewe binafsi,jamaa zako wa karibu na hasa wazazi wako au walezi wangu pamoja na na rafiki hivyo hivyo..Jua hadi kutoa mahari watu walikwisha anza kupiga vigelegele mda mwingi..na kwa kijana hivyo hivyo anaweza kujiona hafai na itampunguzia uwezo wake wa kujiamini na mengine mengi.na itamchukua mda mrefu kujipanga tena au asije kuoa tena maisha yake yote..
Fikilia mara nyingi zaidi kuliko kuamka ukatoa maamuzi ambayo hata na wewe binafsi unaweza kuumia zaidi.
Tafiti nyingi duniani zinaonyesha mabinti wengi wakisha chumbiwa na kisha uchumba ukavunjika basi ni ngumu sana kuweza kuchumbiwa tena na hata yule atakayekuwa anamwamini atamchumbia naye atakimbia..kuwa makini inaweza usije kuolewa tena maisha yako.kile unachomfanyia mwenzio ndicho nacho na wewe utafanyiwa.
mbona rahisi sana unawatangazia wazazi humtaki tena huyu mwanaume kwani anakuombaga 0713...... hahahah ushammaliza
Hahaha...
Ila mizazi mingine sio mizazi, mibazazi... kama alitoa mahari ndefu wanakwambia siumpe? Mbona mavi yanapitaga apo kila siku...
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
kha mimi simoooooooooo
tengua tu before hujajitia kitanzini ukikosa sababu waambie una mimba only that na hutaki mpa mzigo ambao c wake, japo uonyeshe concern kwamba bahati mbaya acjali atapata asiyemcheat
Mwita Maranya njoo umsome Bujibuji! Kwani nikijaribu ndio itakuwa hivyo?Jihadhari sana kuitumia mbinu hii kama mume ni Mkurya. Utacharangwa mapanga washindwe kuelewa nywele ni zipi na utumbo ni upi
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
Tueleze sababu za kwa nini hakufai ili tuelewe kwani unaweza kukuta wewe ndio humfai!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums