Recent content by Kim Jong Un

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    Hii inaonyesha hiki kitabu ni cha nani Kati ya Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo au ni yule aliyetupwa kuzimu yaani Shetani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, kitu muhimu kwenye Mahusiano ni kumuongoza Mwanamke

    Moja ya uzi muhimu sana. Ila wanaume wa Dar hawauoni kabisa. Wanajadili tu namna ya kufanya uzinzi kimasihara.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuhusu HUBS na COWORKING space?

    Best idea
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi lakini nahisi kama nimeshafukuzwa

    Nakwambia Neno hili lishike sana kijana. Never overestimate your importance" that's typical egoism. Acha kujiona we ni Bora sana hata kama ndani mwako au kiuchapakazi unaona hivyo. Jishushe piga kazi tena zidisha zaidi ya hapo ulipokuwa unafanya. Waelekeze na wasaidie zaidi Wote wanataka msaada...
  5. K

    JamiiForums Tanzania I am looking for a Swahili tutor to start a project with me teaching swahili classes online

    Ulijuaje kuwa hii forum nu matangazo madogo mdogo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya maabara vinauzwa

    upo mkoa gani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani mtoto kuanza kuona tangu kuzaliwa kwake

    Mtoto anazaliwa Akiwa anaona.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nani/ wapi wanahitaji kibarua/ mfanyakazi jijini Mwanza?

    Hili nadhani ni tatizo la wengi sana, kwanini hukumbuki kuweka contacts zako kwenye post yako. Just do it now
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Uzi huu utaishi wote mtakuja mtauacha unaendelea
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye dhamana ya TAMISEMI sio Jafo

    Wanabodi Muundo wa wizara ya TAMISEMI ulivyo unaanzia kwa Rais mwenyewe kama waziri Mwenye mamlaka ya hii wizara. Kwamfano mamlaka ya kuteua baadhi ya nafasi Huko halmashauri yapo Chini ya waziri na Rais anateua hizo nafasi kwasababu yeye ndo mwenye dhamana ya wizara. Hivyo maamuzi yeyote...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

    Pole sana kaka nakuhakikishia Hakuna kitakachokupata kazi hutapoteza wala Familia haitaharibika, chakufanya sasa nenda kwa mzazi kamwombe msamaha sana mbembeleze. Ukimaliza kama mzazi reaction yake bado mbaya nenda kwa mkuu umweleze ulipofikia. Atakushauri cha kufanya. Ushauri wangu acha pombe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    We nae msomi unaweza uchaqi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya malipo ya mishahara ya wafanyakazi kwenye kampuni, vikundi au mtu binafsi n.k

    Safi good Idea ila fungua kampuni itakusaudia
Back
Top Bottom