Recent content by Kilio Chetu2015

  1. K

    Mahakama: Dr. Slaa ruksa kuoana na Josephine

    hahahaha mama nanininini??si huyu alikua ........jamaa naye akanyakua nando kasababisha machz wakazamia segerea kula wali na maharage.
  2. K

    Kwa nini wanawake hulia siku ya ndoa...

    Mwanamke ni sawa na gari,kubebe mizigo kila mara,mwanamke akizidisha wanaume ni lazima avhoke. Mi staoa used.
  3. K

    Waziri Muhongo azomewa!

    hahahahahahahaha!!!!!!!! Churaaaa,churaaa,angalieni mtakamatwa na hao mapongo wa ccnjemu.
  4. K

    Watanzania wenzangu mtaniunga mkono,ili kuboresha jimbo letu la magu???

    Mwaka 2015,kama mtanipa support ya kutosha natangaza nia ya kugombea na kuwa mbunge wa jimbo hili la MAGU.Nawatafuta wadau wa chama changu toka jimboni lakini inakua ngumu, kama mko nda ya JF tuanze kuwasiliana mapema,nitajieni baadhi ya vigezo vya kuwa MP Tanzania.
  5. K

    GE2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    lowasa karichmond,magufuli mzee wa misifa kama duli, aliyeko kwenye chat ni Dr. Slaa.
  6. K

    Mhe.mbowe,dr.slaa,mh.wenje,mh. hailas samson jimbola magu linawahitaji sana mko wapi????

    Chonde chonde,fikeni jimbo la magu mwanza mjionee hali ilivyo tete.Wananchi hawana maji wakati ziwa VICTORIA ni mita 500 tu,mbunge Dr.LIMBU alishaenda Honeymoon tangu achukue ubunge.umeme umeshakuwa dili siku hizi.Masiki wa mungu Hospital ya Wilaya kichekesho,wauguzi na madaktari wameshakata...
  7. K

    Uchafu wa Waziri Ghasia na dharau zake kwa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kifua cha JK

    Ama kweli liwalo naliwe,hawa ghasia tunatarajia kukuonyofoa macho,kucha na n.k kupitia kura na ndo maana wananzengo wameanza kukuchome majumba yako.
  8. K

    Mjadala wa mama mjamzito aliyeuawa kwa kupigwa risasi waibuka baina ya Polisi na Waganga

    Mumeyaona maana mkiambiwa chagueni chama kingine kibadirishe na kufumua uozo mnasema ccm imetukuza matokeo yake ndo hayo.
  9. K

    Tujikumbushe mawaziri wazamani

    dr.festus limbu naibu waziri wa fedha,Ernest kisumo Nyanda.Moringe Sokoine waziri mkuu.
  10. K

    CCM kwa sasa tunakubalika mahala ambapo CHADEMA hawajafika tu

    Nimekuhurumia sana,na kwa maelezo hayo waonekana mzazi wangu,pole sana,mimi sikulaumu sana kwa kua mwana ccm,ila ndo kilikua chama pekee kipindi hicho.ila usiendelee kuvaa majezi ya ccm mitaani,watakuja wakutoe sadaka kabisa. Cc ni vjana wa m4c hai kwa siasa.
  11. K

    hello!

    ucjar but tke care sana.
  12. K

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Media wanaogopa kufungiwa wakisema ukweli mana magamba ndo vile.
  13. K

    hello

    Unaju barach pwm umenipa moyo,ok asante nahtaj sapoti zenu.
  14. K

    hello

    why kaka ctofka mbali tena kwani kunalipi tena hum ndani? Au hii jf ni ya watu fulani tu?
  15. K

    hello

    jamani wenyeji hata kunikaribisha mgeni hakuna !!loh hiyo c tabia njema.
Back
Top Bottom