bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,840
Huyu lazima atakuwa chura wa Kihansi.
Katika hali isiyo ya kwaida jioni hii, waziri muhongo amepetwa na kadhia ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa. Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani wamachinga, walianza kumzomea kumuita chura! Chura! Chura! Chura! hali iliyompelekea Bw. Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari iliyokuwa ikumsubiria pembezoni mwa barabara. Baada ya kufika kwenye gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi za bunge huku vijana wakiendele akumzomea !
My Take:
Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali
![]()
Hahahaha....chura wamegeuka mamba....tuone nani anaweZa kuvuka mto.
View attachment 95105
Hakukuwa na mbunge wa CHADEMA karibu ili akamatwe kwa kusababisha kiongozi kuzomewa?
Kwa jinsi walivyo wapumbavu, hukawii kusikia mbowe alikua hapoHakukuwa na mbunge wa CHADEMA karibu ili akamatwe kwa kusababisha kiongozi kuzomewa?
Huyu lazima atakuwa chura wa Kihansi.
Cooked story
.....
Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali
![]()
Hasa yule Mwanasheria mrefu naibu wa mambo ya umeme anabusara sema mfumo unafungafunga kutumia busara zake sawa sawa....nahisi anaweza kuwa muadilifu...!
Mimi sishangai kwa hayo anayoyafanya maana yeye alishasema si mwanasiasa. Hao manaibu wake wanaweza kujbu hoja kisiasa kwa kuwa wao ni wanasiasa.Ameyataka mwenyewe. Lugha yake ni ya kibabe mno. Manaibu wake ni wastaarabu na tena wamemfunika sana hata wakati wa presentation ya leo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Aha ha ha huyu kafanana na yule mzee wa gombe
Kuzomewa na Wendawazimu, Vichaa na Wehu ni Faraja sana kwa Profesa! Profesa chapa kazi kwa Jeuri ya Cham,a tawala Chama cha Mapinduzi