Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

magufuli mzee wa ten pacent kwenye barabala ndiyo maana barabara zetu miezi sita malekebisho,
lowasa kashifa ya richimond hajatakata nafikili slaa yupo juu
.
 
Nani zaid ya doctor slaa,hao wengine wote hakuna salama hata mmoja mtoto wa nyoka ni nyoka dhana ya kuvua gamba imeishia wap??tafakar
 
Ni vizuri kabla ya kuwa rate hawa tuletee vigezo tutakavyo tumia kuwa chagua,kwa hali iliyopo sasa wote hawafai.Kama watanzania tunataka kutengeneza utamaduni mpya wa kufikiri na kutenda tunahitaji tujue matatizo yetu,vyanzo vya matatizo na namna ya kuyaondoa.Viongozi wa kisiasa tulionao ni matokeo ya watanzania wenyewe kuwa kabidhi vichwa wanasiasa wafikiri kwa niaba yetu,na hii ndo sababu ya wanasiasa kuwa na nguvu kushinda raia wenye nguvu.Na hii inafanya watanzania kutawaliwa na wanasiasa badala ya wao kuwatawala wanasiasa.Haya ni mawazo yangu,na ninaamini wote hawana jipya kwani wote wamejengwa na falsafa ya kitanzania inayosema "watu wanasema wasiyo yamaanisha na wanamaanisha wasiyo yasema"tafakari
 
Mimi nazani Dr Slaa anafaa sana hakuna ubishi ndie kiongozi thabiti sana. Lowasa bado hajasafishika....magufuri kama wachangiaji wengine walivyosema ......vijipasenti! barabara kila siku ukarabati
 
Ukweli lowasa,slaa hafai ht kidogo ht katibu kata hafai,udini na ukabila juu.
 
Panua wigo wa uchaguzi tuweke maoni yetu muanzishaji mada tafadhali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo Lowasa anafaaaa kabitha. Serikali ya jk inayumba baada ya huyu jamaa kujiudhuru. Dr Slaa hana uwezo, baadhi ya wana Arusha walimpelekea taarifa juu ya uuzwaji wa kiwanja cha ekari tano pale Atown, uuzwaj wa trekta uliofanywa na G Lema. Huyo Slaa kauchuna, hiki ni kipimo kidogo, favour kwa baadh ya watu pale cdm imekuwa kubwa wataua cdm hawa viongozi. EL mambo ya EPA and Richmond alichezeshewa mchezo we know. Magufuli atakuwa waziri mkubwa.
 
Mtu pekee hatakaye waondolea unyonge wanaccm ambao wamekuwanao kwa miaka 5,lkn atayewaokoa wabunge wa ccm
 
Hafai ana dharau sana..huyu si ndio alisema kama hatuna nauli tupige mbizi? Akawe rais wa mkewe
 
Kwa muono wangu huyu bwana ndio anafaa kumrithi Kikwete, kwa Nchi yetu ilipofikia tunahitaji Rais mwenye msimamo na mbabe kama huyu jamaa, hatuhitaji tena mtu soft!!!!!
Naona utabiri wako unakaribia kitimia...
 
Hapa ndio aliharibu

dkmagupombe.jpg
Huu siyo mfano mzuri hata kidogo!
 
Nilisema hapa mchana jk ataweka historia ya kuifanya hccm kuwa historia...nikasema kama team lowassa wakifanya mambo yao tunayoyajua...membe akatizi top 3 ...kuna mtu kasema 100% membe raisi wa tz...nasema tena kama team lowassa wakifanya mambo yao ninayoyafahamu...mgombea wa uraisi kwa ticket ya ccm mwaka huu ni mwanamke...nasema tena pona ya ccm mwaka huu ni huruma ya team lowassa...lowassa anaweza asimwage mboga lakini wananchi watamwaga mboga na upinzani kama wakijipanga vzuri wanaingia magogoni...tusubiri tuone...
 
Back
Top Bottom