siku hizi hatulii
hua tunafurahi kumiliki dushe....!!
ukituona macho kodoooo kulia ilikua longi!!
amini mwaya ndio hali halisi iliyopo sasa kwaito+kiduku, twist watacheza wazee mwisho wa sherehe
Kwani wewe Lady doctor umeshaolewa au bado,natamani nikuone unavyolia au kucheza kiduku hapo pembeni yangu,,,
Mama yangu Chimbuvu huyuhuyu au mwingine.............
haaa! ati nini? mbona amesema anasingiziwa?
Si ndio wanavyojiteteaga hao,kwani wewe unafikiri ngedere na tumbili wana tofauti gani..?? Nakuhurumia mdogo wangu...........
siku hizi hatulii
hua tunafurahi kumiliki dushe....!!
ukituona macho kodoooo kulia ilikua longi!!
Waliokuwa wakilia ni wazamani. kwakuwa walikuwa wanatamani sana wakaonje zeutam, lakini wa sikuhizi hawalii kwakuwa wanakuwa walisha tumika sana, kwamfano anaanza kugegedwa tangu akiwa na miaka 12 anaolewa miaka 20, miaka 8 utamu ulisha isha zamani
Kaka kakudanganya nani kuwa utamu wa hiyo kitu huwa unaisha,na kama hataupata huo utamu basi mtoa utamu hakujipanga kaka,watu wanapelekesha vibibi vya miaka 80 na wanavifikisha itakuwa mtoto wa miaka 20 kaka....