Recent content by kilavo11

  1. K

    Mimba tatu zimeharibika

    Okay basi ni wazi shida imejulikana, Ni kweli HSG hutumika pia kama curative japo sio guarantee kuzibua mirija yote, na yawezekana kama nilivyosema alikuwa na PID ambayo haikutibiwa na ikasababisha mrija wa pili nao kuziba so fanya mapema urudi ukafanye hiyo HSG (as a curative procedure) kama...
  2. K

    Karibuni fursa ya kibiashara

    Vocha za simu ni bidhaa inayotumiwa na kila mtu, na kwasasa imekuwa ni jambo la lazima wala sio anasa, So kwenye hilo profit zaweza patikana through normal usage of cellular phones, Viingilio kazi kubwa ni hapa mwanzoni tu katika kumaintain member waliopo lakini ukishaingia unaweza fanya...
  3. K

    Mimba tatu zimeharibika

    Kosa kubwa wanalolifanya watu wenye shida ya uzazi ni kuruhusu presha ya mtoto itawale maisha yao, presha ya marafiki, ndugu na majirani haipaswi kuwatawala. Japo kweli ni stress lakini mnapaswa muweze kuicontain, Kimsingi hapo pana mambo mawili, Kwanza inaonekana bibie alikuwa na shida ya...
  4. K

    Karibuni fursa ya kibiashara

    RIFARO AFRICA BUSINESS OPPORTUNITY Hii ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO. Kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa...
  5. K

    Mchele super kutoka Kyela

    Kwa wale wapenzi wa mchele safi wenye ladha kutoka Kyela (pure ambao haujachakachuliwa) bei ni Tshs 2500 kwa kilo, Fika mabibo relini mkabala(opposite) na kibanda cha kukatisha tiketi za treni ya Mwakyembe, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:- 0684 951 007 0652 299 681 Pia kwa makubaliano...
  6. K

    Mchele safi pure kutoka kyela wa wakazi wa Dar call 0786631962

    Kwa Wakazi wa Dar karibuni Mabibo Relini tumewaletea mchele pure/wa asili kutoka Kyela, yani ule mchele ukiuweka nje hadi nzi wanaufuata, (sio ile ya kuchanganya) Bei ni Tsh 2500 kwa kilo karibuni sana, Pia delivery services zipo kwa maelewano, Nakuhakikishia ukinunua hutojutia kiwa mteja...
  7. K

    SCAM: Rifaro Africa, hii ni DECI nyingine?

    Fafanua 'kijungu jiko'
  8. K

    SCAM: Rifaro Africa, hii ni DECI nyingine?

    RIFARO AFRICA BUSINESS OPPORTUNITY Hii ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO. Kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa...
  9. K

    Nimependa changudoa

    Kijana tunakubali mapenzi hayabagui...... ila maisha yanabagua!! Ubaguzi wa maisha unafanywa na makosa mbalimbali ya mtu binafsi au watu wanaomhusu mhusika!! Changudoa ni mwanamke kama wengine, na wengi wanuwezo mkubwa sana wa kumridhisha mwanaume kimapenzi, Tatizo na hofu yangu kubwa ni vitu...
  10. K

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Kwenye swala la wanawake wasomi kutokudumu kwenye ndoa lina ukweli ndani yake (though i have no statistical evidence) but kimtaa tunayaona haya kwa kiasi fulani... Nadhani sababu kubwa hasa ni mbili... 1. Mfumo dume - Wanaume ktk jamii za kiafrica tunajichukulia kama kichwa cha familia(lkn pia...
  11. K

    EBSS 2012 winner ni Walter Chilambo

    Yani ulitaka wafanyweje sasa?? yaani tayari wameshatolewa from unknown to famous, na hela/zawadi wakapewa most of top ten wanapata na deal za kurekodi pia.. bila BSS ungeyatajaje hayo majina??? ungeyajuaje??? japo ina mapungufu yake lakini BSS imefanya kazi kubwa sana ambayo inastahili...
  12. K

    EBSS 2012 winner ni Walter Chilambo

    I choose to disagree with you on one point, yes wote ni wakali but vocally Salma yuko chini zaidi ya wote she is monotonous, she can not hit higher notes ndo maana alishauriwa na Jay aimbe nyimbo za size yake, vocal range yake ni ndogo, ni kweli anapiga gitaa poa sana, but Vocally Nsami was far...
  13. K

    EBSS 2012 winner ni Walter Chilambo

    Mkuu unaangaliaga talents show za nchi nyingine lakini!! umeshawahi kuona American idols??? basi hata Tasker project fame hujaona??? its all about singing famous songs from famous artists!! even American idols hawatungi nyimbo zao jama... hata ukicopy nyimbo ya mtu kama unajua kuimba utaimba...
  14. K

    Lissu kumshtaki rais Kikwete bungeni

    Nchi ya kishikaji, Raisi wa kishikaji, uteuzi wa kishikaji, wabunge washikaji, hata akipeleka hoja itaisha kishikaji!!
  15. K

    Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

    Ama kweli wataalamu wote wataendelea kuwa watumwa wa wanasiasa, I thought walivyodai kuwa madai yao ni ya msingi walikuwa na maana coz hata serikali mara kadhaa ilikiri kuwa madai yao ni ya msingi, sasa ina maana hizo huduma bora walizokuwa wanazipigania zimeshaboreka? mwanzo nilidhani...
Back
Top Bottom