EBSS 2012 winner ni Walter Chilambo

Wote matapeli tu..wanatafuta namna ya kuwakamua watanzania pesa zao..
 
Huwa kila mwaka tunasifia ooh misoji mkal,pasco mkali,walter mkal bt at th end of the day wanadisappear...hakuna kipaji wanachovumbua bss wanachofanya ni kutafuta bingwa wa kukariri miziki ya wengine na kuitema kama ilivyo...so until watakapolitambua hilo watagundua true talents in music
Na hii ndo pointi haki!!!!!
 
Hivi juma4 Idd yupo wapi?
Nadhani kunahaja kujua washindi waliopita wanayapi wameyapata kutokana na hili shindano.

J4 idd yupo mkuu sema hali ya maisha yake si nzur kivile na siku chache zilizopita amefunga ndoa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hivi juma4 Idd yupo wapi?
Nadhani kunahaja kujua washindi waliopita wanayapi wameyapata kutokana na hili shindano.

Kwa mara ya mwisho alikuwa dereva tax pale Kituo cha Sayansi akitumia gari alilopata kwenye shindano la BSS. Kwa ujumla shindano hili ni la mwandaaji kuchuma fedha tu kutoka kwa Sponsors na si kuendeleza vipaji vilivyoibuliwa.

Jiulize akina Paschal Cassian, Jumanne Idd mwenyewe, Misoj Nkwabi, Leah Muddy, Rogers na wengine lukuki waliotoka kwenye shindano hilo wako wapi? Jibu ni rahisi tu wamepotea. Hakuna strategy za kuwa manage wasanii baada ya kuwa wametoka kwenye shindano.

Wewe unamtoa kijana kijijini Sigimbi au Masanzakona, Magu then unamleta mjini unamuacha kwenye mataa au mikononi mwa akina Ruge unategemea nini? Kifo tu.No air time for their song, no artists management. Shindano halina maana kubwa kwenye kuendeleza vipaji unless they sit down and think something new for the artists after the finals.
 
Salma ni kipaji cha ukweli natamani sana aende Tusker Project Fame pamoja na Nsami, Walter na Salma wote ni wasanii wakali cz mshindi lazima awe ni mmoja ndo maana walter kapita, ila kivocal na ala za mziki Salma moto wa kuotea mbali.
 
Mimi nilikuwa sijawahi kuangalia BSS lakini jana nikajua Walter.
BSS NI kubahatisha kwani wapiga kura ndio wanaamua.mfano, Ukiimba VIZURI Wimbo wa Diamond lazima utapata shabiki wengi wa Diamond na wanakuwa wapiga kura wako.Jumanne aliimba nyimbo za Chameleone. NI strategy tu.
 
Jamani kazi ya benchmark ni kuwatambulisha tu hao madogo, kuendelea au kutoendelea ni juhudi binafsi sasa. Mbona chiku keto, kala jeremiah na peter msechu wapo kwenye game? Mtazamo tu, msijenge chuki. By the way, walter alistahili kabisa kuwa mshindi. Anaweza kujifunza.
 
Wote mbulula tu,hawa wanaoachwa wakiwa na vipaji ni wapi na mbna atuwasikii?akuna cha wakwanza wala wa 8,bss kwa ujumla wake ni mbulula. shndn mwnz mwsho wanacpy nymbo za w2 unategemea nini,ni kama mwanafunz alie zoea kuangalizia darasan,atafaulu vizur masomo yake lakn practicaly atakua hana k2,

Mkuu unaangaliaga talents show za nchi nyingine lakini!! umeshawahi kuona American idols??? basi hata Tasker project fame hujaona??? its all about singing famous songs from famous artists!! even American idols hawatungi nyimbo zao jama... hata ukicopy nyimbo ya mtu kama unajua kuimba utaimba, kama hujui hujui tuuu!! unfortunately hawaangalii uwezo wakuandika coz mwimbaji sio lazima awe mtunzi!! BSS imeibua vipaji vingi tuu, problem ni katika kupat writers wazuri waweze kuwaandikia hawa vocalists.. kiufupi system yetu ya muziki wa bongo flava haieleweki na haina mfumo mzuri kuwaruhusu waimbaji wazuri wapate watunzi wazuri ili wa-shine!!
Mfano hata Justine Bieber ambaye hakupitia Talents show, alirekodi nyimbo mbalimbali za watu maarufu alizoziimba na ku upload youtube, wenye kuona vipaji wakamchukua, wakampa writers na composers wazuri dogo akatoka!! so Swala hapa ni mfumo wa muziki!!
 
Salma ni kipaji cha ukweli natamani sana aende Tusker Project Fame pamoja na Nsami, Walter na Salma wote ni wasanii wakali cz mshindi lazima awe ni mmoja ndo maana walter kapita, ila kivocal na ala za mziki Salma moto wa kuotea mbali.

I choose to disagree with you on one point, yes wote ni wakali but vocally Salma yuko chini zaidi ya wote she is monotonous, she can not hit higher notes ndo maana alishauriwa na Jay aimbe nyimbo za size yake, vocal range yake ni ndogo, ni kweli anapiga gitaa poa sana, but Vocally Nsami was far better than Salma!!! Walter deserved to win he is realy a vocalist.... try kusearch youtube their previous perfomance from auditions then u'll notice the truth!!
 
Kwa mara ya mwisho alikuwa dereva tax pale Kituo cha Sayansi akitumia gari alilopata kwenye shindano la BSS. Kwa ujumla shindano hili ni la mwandaaji kuchuma fedha tu kutoka kwa Sponsors na si kuendeleza vipaji vilivyoibuliwa.

Jiulize akina Paschal Cassian, Jumanne Idd mwenyewe, Misoj Nkwabi, Leah Muddy, Rogers na wengine lukuki waliotoka kwenye shindano hilo wako wapi? Jibu ni rahisi tu wamepotea. Hakuna strategy za kuwa manage wasanii baada ya kuwa wametoka kwenye shindano.

Wewe unamtoa kijana kijijini Sigimbi au Masanzakona, Magu then unamleta mjini unamuacha kwenye mataa au mikononi mwa akina Ruge unategemea nini? Kifo tu.No air time for their song, no artists management. Shindano halina maana kubwa kwenye kuendeleza vipaji unless they sit down and think something new for the artists after the finals.

Yani ulitaka wafanyweje sasa?? yaani tayari wameshatolewa from unknown to famous, na hela/zawadi wakapewa most of top ten wanapata na deal za kurekodi pia.. bila BSS ungeyatajaje hayo majina??? ungeyajuaje??? japo ina mapungufu yake lakini BSS imefanya kazi kubwa sana ambayo inastahili credits and not critics as you did!! swala la management ya artists ni swala jingine na linamuhusu artist mwenyewe... akili kumkichwa
Watoto wauswazi wanasema ...UKIBEBWA JISHIKILIE!!!
 
I choose to disagree with you on one point, yes wote ni wakali but vocally Salma yuko chini zaidi ya wote she is monotonous, she can not hit higher notes ndo maana alishauriwa na Jay aimbe nyimbo za size yake, vocal range yake ni ndogo, ni kweli anapiga gitaa poa sana, but Vocally Nsami was far better than Salma!!! Walter deserved to win he is realy a vocalist.... try kusearch youtube their previous perfomance from auditions then u'll notice the truth!!

exactly.
 
Walter ni mkali sana bt ninachotaka kujua ni kwamba washindi wa miaka ile wako wap? au vipaji vyao huwa vinaishia2 BSS? kwa ushaur mwakani wakusanywe top3 zote za miaka iliyopita ndo waingie kwenye jumba. tuwaone je vipaji vyao bado vipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom