Recent content by KILATWAZA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Ushindi wa CCM jimbo la Kalenga.

    Safi sana wala Kalenga mmenifurahisha bado Ridhiwan afanye yake Chalinze hiyo ni salam ya 2015
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

    Mtz mwenye akili timamu hawezi kuwapa Dola CDM wanachojua ni kuwafundisha wtz kuandamana hawajui kama wtz wanakazi za kufanya
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Inaelekea nguvu ya LOWASA kupenda sana na wananchi inawaogopesa..!! Ishieni kupigana mahakamani na kufukuzana wakati wenzenu wanafanya kweli...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Kwa sasa katika ulingo wa siasa huwezi kumlinganisha Mwanasiasa yeyote zaidi ya LOWASA na ndio chaguo la wtz 2015 wengine tupa kule..!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Chama kichefuchefu wawatafute mamburura wa kuwaongoza
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wassira A Visionary Leader Aliyaona yanayotokea CHADEMA

    Chadema tayari imesha poteza mwelekeo, imeshindwa kufata katiba ya chama hivi katiba ya nchi wataiweza kweli!!!! Na wanasheria wao wababaishaji!!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je Wazifahamu Sanamu Maarufu Duniani? Hii Inaitwaje na Iko Nchi Gani?

    Cna haja nazo MUNGU anatosha kumfaham
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

    Kaka juu ya mtazamo wako uko sahihi kabisa Dr. SLAA amechemka sana juu ya hili
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Unafiki 2 wa CDM kutaka kujisafisha kwa wananchi baada ya kuona kimesha nuka...!!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

    Msigwa hajielewi na matamshi yake mabovu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo simu kali mpya kutoka lg ‘g flex’ zenye uwezo wa kujifuta mikwaruzo

    Dah!!!! Hatarii now days wa2 ni macreater ucpime..!!!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Fanya yako v2 vingine havikuhusu ebooo....!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    SLAA hana jipya siasa haziwezi kilicho baki 2pa kulee asiwe king'ang'anizi kama LIPUMBA umri umesha kwenda na bado kuingia IKULU ni ndotooo...!
Back
Top Bottom