Hii ndiyo simu kali mpya kutoka lg ‘g flex’ zenye uwezo wa kujifuta mikwaruzo


msafwa93

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Messages
4,037
Likes
2,983
Points
280
msafwa93

msafwa93

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2011
4,037 2,983 280
Kampuni ya LG ya Korea Kusini imetoa simu mpya LG G Flex zilizotengenezwa kwa material yanayoziwezesha simu hizo kurudi katika hali yake ya upya, hata baada ya kupata mikwaruzo ya kawaida ambayo hufanya simu ionekane kuchakaa.

Simu hizo zina uwezo wa kujirudisha katika hali ya kawaida (self-healing) mara baada ya kupata mikwaruzo ya kitu chenye ncha kama funguo,kisu nk, na baada ya muda alama zote za mikwaruzo zinapotea na kurudi
ilivyokuwa.

Pia display ya simu hizo za LG G Flex
imetengenezwa kwa plastic badala ya kioo kama zilivyo simu zingine, na pia muundo wake wa kujikunja (curve) unairuhusu simu kunyooka pindi inapokandamizwa kwa nguvu na kurudi katika hali yake bila kuvunjika.

Kwa simu hizi za G Flex, mtumiaji hatapata yale maumivu ambayo huwakuta watumiaji wengi ya kuvunjika kwa kioo, au simu kupata mikwaruzo mingi inayosababisha kuifanya ichakae haraka.

GG Flex zimezinduliwa kwa soko la kimataifa Jumanne (December 3) huko Hong Kong.

Bei ya simu hizo kwa Korea ni 999,990KRW sawa na Tsh milioni moja na nusu.
 

Attachments:

M

Matunyengule

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
717
Likes
35
Points
45
M

Matunyengule

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
717 35 45
GG Flex ambazo kwa sasa zinapatikana Korea peke yake zitazinduliwa kwa soko la kimataifa Jumanne ijayo (December 3) huko Hong Kong.
Mkuu kwani leo si ndio tarehe 3!! hiyo jumanne ijayo ipi tena?
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,516
Likes
15,520
Points
280
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,516 15,520 280
Hii Teknolojia inayowekwa kwenye simu ni balaa.
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
61
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 61 145
Milioni moja na nusu nikanunue simu!
Hata kama nimeokota hiyo pesa itapata matumizi mengine tu! Kweli watu tumetofautiana
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,844
Likes
5,767
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,844 5,767 280
mtu kama mie nitaishia kuona matangazo tu
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,908
Likes
32,648
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,908 32,648 280
Milioni moja na nusu nikanunue simu!
Hata kama nimeokota hiyo pesa itapata matumizi mengine tu! Kweli watu tumetofautiana
Umasikini jamani.

Kila mtu kazaliwa awe yeye.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,908
Likes
32,648
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,908 32,648 280
Haya wazee endeleeni tu kutuibia pesa zetu
 
K

KILATWAZA

Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
17
Likes
0
Points
0
K

KILATWAZA

Member
Joined Jul 29, 2013
17 0 0
Dah!!!! Hatarii now days wa2 ni macreater ucpime..!!!!!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,717
Likes
3,391
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,717 3,391 280
Milioni moja na nusu nikanunue simu!
Hata kama nimeokota hiyo pesa itapata matumizi mengine tu! Kweli watu tumetofautiana
Mbona pesa ya kawaida sana hiyo...hii sio simu kwa perception uipatayo ukisikia neno simu, ni zaidi ya kufanya calls au texts.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,424
Likes
9,333
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,424 9,333 280
Milioni moja na nusu nikanunue simu!
Hata kama nimeokota hiyo pesa itapata matumizi mengine tu! Kweli watu tumetofautiana
ukiwa hivyo inabidi uwe na subira ikifika 2009 hii simu utaipata mkononi hata elfu 30 tu.
 
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
5,461
Likes
85
Points
145
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
5,461 85 145
Haya wazee endeleeni tu kutuibia pesa zetu
nadhani wangeweka bidii kwanza kwenye kutuletea battery zinazokaa na charge zaidi ndio waanze hizi mbwembwe zingine.
 
K

kill

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,833
Likes
3
Points
0
K

kill

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,833 3 0
hawa wangeweka inayogichaji yenyewe bado gharama zko juu sana mafisadi watanunua
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,735
Likes
780
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,735 780 280
ukiwa hivyo inabidi uwe na subira ikifika 2009 hii simu utaipata mkononi hata elfu 30 tu.
I assume you wrote 2019 not 2009.

BTW brother, this curved screens sio Samsung's idea/Technology? I think somebody is asking for a BAN here as your favorite Nokia did to HTC One Mini. Right? chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
61
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 61 145
Mbona pesa ya kawaida sana hiyo...hii sio simu kwa perception uipatayo ukisikia neno simu, ni zaidi ya kufanya calls au texts.
Ina nini cha ziada ambacho siwezi kukipata kwingine?
 

Forum statistics

Threads 1,250,723
Members 481,468
Posts 29,743,371