Je Wazifahamu Sanamu Maarufu Duniani? Hii Inaitwaje na Iko Nchi Gani?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,254
2,000
SPECIAL IMAGE9.jpg
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,458
2,000
Hii sanamu ya nguva mdogo maarufu kama "Litte Mermaid Statue" inapatikana ndani ya jiji la Copenhagen ambao ni mji mkuu wa Denmark.

Ni moja ya kivutio kikubwa sana ukiwa Copenhagen na watalii wengi hufika hapo kutoa ushamba.
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,254
2,000
Hii sanamu ya nguva mdogo maarufu kama "Litte Mermaid Statue" inapatikana ndani ya jiji la Copenhagen ambao ni mji mkuu wa Denmark.

Ni moja ya kivutio kikubwa sana ukiwa Copenhagen na watalii wengi hufika hapo kutoa ushamba.
Kweli hasa watu8. Unaeleza kama vile unaishi mjini copenhagen! Little Mermaid ipo copenhagen na watalii wanaokuja kuitazama wanaishangaa kwamba ni ndogo kuliko walivyoiwazia.
Asante watu8 kwa kutufungia chemsha bongo hii ya picha ya sanamu. Tukutane kwenye chemsha bongo ingine ya picha. Baada ya kusema hivyo, natangaza kufunga hii thread. Ukichangia baada ya hapa mie sitakuwepo!
 
Last edited by a moderator:

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
2,555
2,000
hii ni sanamu ya LION OF JUDAH ambayo ni alama ya utawala wa wafalme wa Ethiopia ambao wana damu ya mfalme Suleiman mwana wa Mfalme Daudi wa Israel.
 

Attachments

  • addis-ababa-bronze-lion-of-judah-statue-outside-the.jpg
    File size
    48.1 KB
    Views
    134

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom