CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

Lengo lao limeshajulikana. Sio lengo zuri. Ndio maana watanzania wenye nia njema na nchi yao, kwa umoja wao, wamekuwa wakiwakataa kila mara kupitia boksi la kura.

Chadema inaweza kuingia ikulu labda mwaka 3000
 
Nina mashaka na ongezeko la utekaji endapo hawa wachaga watachukua nchi. Ha ha ahaaaaaaa!
 
Lengo lao limeshajulikana. Sio lengo zuri. Ndio maana watanzania wenye nia njema na nchi yao, kwa umoja wao, wamekuwa wakiwakataa kila mara kupitia boksi la kura.

amwoni ata aibu wala hofu!eti watanzania wanaikataa Chadema kwenye box la kura wakati Chadema kinazidi kushika uongozi kila kukicha kwenye almashauri za mikoa na bado mwaka huu ndiyo funiko kwenye chaguzi ndogo ndogo za madiwani,uenyeviti na mabalozi na kazi inamalizika mwakani kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais.
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?

Msaada: ambo ambayo Chadema ilipanga kuanya kati ya 2010 mpaka 2015 yapo hapa. Ya 2015 - 2020 tutaipata wakati ukifika. CHADEMA ni chama makini sana. Jiande kwa mabadiliko
 
Attachments

lazima tukubaliane kuwa chadema ndo chama pinzani kilicho madhubuti Tanzania. kukibeza ni kubeza mfumo wa vyama vingi na hivyo kushabikia mfumo wa chama kimoja ambao matokeo yake ni kuburuzana.
kinacho endelea chadema ni kipindi cha mpito ambacho ni jambo la kutarajiwa kwenye siasa, kitapata tu. NI MTAZAMO WANGU
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?

Nia yao ni kupiga Ruzuku, CDM ni kampuni, ndio maana hata katiba yao hairuhusu mwanachama kushitaki uongozi au chama,hawataki hesabu zao ziwe wazi kwa wananchi, na pia uongozi hauna ukomo.........ambayo ni kinyume na utawala bora
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?
kuwashughulikia mafisadi
 
Inataka kubadili hari ngumu ya watanzani tuliyosababishiwa na miccm, harafu inaonekana wewe ni kilaza, kama sio kilaza unajitoa ufahamu, nikusaidie tu kuwa, fuatilia sera za Chadema 2010 Dr Slaa alieza nini.
 
maamuzi yanayofanywa sasa na hizi taasisi za kisiasa,yanaakisi jinsi itakavyokuwa pindi wananchi watakapokosea kutoa nafasi ya taasisi hizi kuongoza nchi.
 
Kwanza ungetuambia Ccm inataka kubaki madarakani ifanye nini tena wakati imeshashindwa kutuletea maisha bora kwa kila mtanzania na sasa yamebakia bora maisha kwa kila mtanzania na kila kitu kimeisha na Tembo nao ndio basi tena
 
Ni malengo ya kila chama cha siasa kutaka kushika dola. Pamoja na Lengo Hilo kuu vyama pia huwa na sera mbalimbali ambazo hasa ndio huwa dira ya malengo makuu ya kushika dola!

Hii huonyesha mipango ya Muda mfupi na mrefu ya kuleta maendeleo kwa wananchi! Mipango hii ndio hasa hutakiwa kutangazwa sana kwa umma ili ujue ni kwa nini Chama hiki kinaitaka dola!

Nachelea kusema Kuwa CDM wamekosa Hoja zenye mashiko kwa upande huu muhimu, wamekuwa ni wazuri sana kwa Hoja za kudandia na siasa za kushambulia bila kutuambia wao watafanya miujiza gani kwani mambo Mengi wanayoikosoa ccm wao pamoja na uchanga wao wanayafanya kwa Kasi Kubwa.

Mambo hayo ni pamoja na ubinafsi, ufisadi, matumizi mabaya ya maharaja, upendeleo, matumizi mabaya ya fedha za umma, kutoshaurika na mengine Mengi tu.

Sasa badala ya Kujibu kwa matusi na kejeli naomba CDM mtuambie mnataka kwenda ikulu kufanya nn? Mtakuwaje tofauti na mlivyo Sasa? Ni kwann watz wasiseme heri "zimwi likujualo halikulli likakwisha"?

Kwanza kabisa ukubali bila upinzania haya yote tunayozungumza hatungekaa tuyajue. Kwenye chama tawala kwenyewe kuna upinzani ila hawana mahali pa kuyazungumzia, ndiyo maana yanatolewa kwa upinzani yatoke kwa wananchi na yafahamike.

CDM walikuwa wa kwanza kusema kikiingia madarakani watabadilisha katiba na kupunguza madaraka ya Rais na hapo ndipo penye tatizo kubwa kuliko sehemu zote. Hi kuchaguana kwa kuangalia sura ama undugu ndiyo tatizo kubwa. Wale wateule wa Rais wakiweza kuchaguliwa kupitia process zinazoeleka hata post kutangazwa na wenye sifa waombe na wapewe malengo, hii nchi itakuwa mbali.

Elimu ya mshing hadi sekondari bure likuwa ajenda ya CDM, matokeo yake chama tawala kimelichukua na mwisho wake kila mwanafunzi aende secondary hata kama hajui kusoma. Tumesoma kwenye vyombo vya habari zaidi ya wanafunzi 5,200 walijiunga na secondary za serikali bila kujua kusoma na kuandika....Shida ni kuchaguana kwa kuangalia undugu. Katiba ibadilishwe.

Nchi gani duniani ambayo umeona hakuna sehemu ya viongozi wa kitaifa, kama ilivyokuwa Oysterbay na Masaki? Chama tawala walijiuzia sehemu ambazo zilitengwa kwa ajili ya waheshimiwa viongozi na sasa unaona pameanza kuwa sawa na sinza kwa bar kila nyumba. waliopanga mwanza hawakuwa wajinga. Leo hii unaenda kuwaweka mawaziri na viongozi wa kitaifa kwenye apartments tena sehemu moja tu!! Mfano mzuri zile nyumba zilizojificha kwenye sehemu za viwanda mikocheni, maskini ya mungu. CDM walisema wakiingia madarakani watazirudisha kama ilivyokuwa kwa Baba wa Taifa. Hata Mhe. Rais aligusia kurudisha ila naona nguvu ya chama chake imemzuia.

Tuliona na tumeona jinsi viongozi wa kitaifa wakichaguliwa wanakosa nyumba za kukaa, wanaishi hotelini. Unategemea nini hapo, jaji anaishi hotelini?

Kwa leo hayo yanatosha
 
Kwanza ungetuambia Ccm inataka kubaki madarakani ifanye nini tena wakati imeshashindwa kutuletea maisha bora kwa kila mtanzania na sasa yamebakia bora maisha kwa kila mtanzania na kila kitu kimeisha na Tembo nao ndio basi tena
Anzicheni chama kingine kipya labda kitatoa upinzani lakini chama cha Mtei nacho viongozi hawana jipya wamebaki wakilumbana na Zito huku Mzimu wa Chacha wangwe Nao umewalemea sana
 
TAFAKARI: Kama hapa ndio Makao makuu ya Chama, Je mikoani pakoje? CHADEMA si mnapata ruzuku kwa miaka 10 na kwasasa!!? Kama mmeshindwa kujenga makao makuu yenye hadhi. Je, mtaweza kuijenga Nchi?

NB:
Sijui hali ya Ofisi za CHADEMA Mikoani zikoje tu.

wakati Mwalimu Nyerere anapigania Uhuru makao makuu ya TANU unajuwa yalikuwa yanafanana, je?

tumia akili na uda wako vizuri.
 
Chadema inaweza kuingia ikulu labda mwaka 3000

Ni Ujinga na Upumbafu kujifanya hauoni Ujinga wa Ccm kuliko Mjinga asiyejiandikisha kupiga kura na Mpumbafu aliyejiandikisha na asipige Kura maana hao viongozi wote wabovu wa Ccm wamechaguliwa na mtu kama wewe ambaye unamtizamo huo
 
Mtz mwenye akili timamu hawezi kuwapa Dola CDM
wanachojua ni kuwafundisha wtz kuandamana hawajui kama wtz wanakazi za kufanya
 
Anzicheni chama kingine kipya labda kitatoa upinzani lakini chama cha Mtei nacho viongozi hawana jipya wamebaki wakilumbana na Zito huku Mzimu wa Chacha wangwe Nao umewalemea sana

Jinalako ndivyo ulivyo.Zito ndio mdudu gani? Subirini muda ufike tu!pesa zenu tutakula mchana na usiku alafu tuone mtatudai vipi,na zamu hii haibiwi Cdm labda nyie nao
 
Mtz mwenye akili timamu hawezi kuwapa Dola CDM
wanachojua ni kuwafundisha wtz kuandamana hawajui kama wtz wanakazi za kufanya

Wewe kazi unayo kweli au unataka au unakibarua.Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo kilaza kwa kuwa unajua maandamano ni haram kuliko kuisogeza akiliyako ivuke mipaka ya nchiyetu kuona inchi za watu walioendelea wanayaheshimuje maandamano
 
Back
Top Bottom