Recent content by kilakala

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi Juu - Goba Road

    Kuna nyumba inapangishwa mbezi juu Goba Road.Ina masterbed room na vyumba vya kulala viwili, sitting room ndogo na choo cha nje. Parking ya gari ipo. Maji sasa hivi yamefungwa kisiasa mpaka mambo yatakapo kaa sawa yatatoka. Kodi ni Tsh 200,000 kwa mwezi. Kwa wali ambao serious wanaitaji ni PM...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Gharama za Umeme

    Mimi navyoelewa kwa wewe unayetumia 150Kwh per month upo kwenye category T1 ambapo unit moja ni Tsh 221 na service charge ni Tsh 3,841 gharama zote hizo bila VAT. Kwa ufupi wewe utakuwa unatumia kwa mwezi kati ya Tsh 40,000 mpaka 50,000 kwaajili ya umeme tu. Bei ya umeme Tz ipo juu kwakweli
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo...

    Tunashukuru ndugu mjengwa kwa kuanzisha huo msaada kwa mama yetu. Tuko pamoja nawe. Nitawasilisha kiasi changu kidogo kwa tigo/mpesa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nadesign LOGO/ NEMBO za uhakika cheki samples kwenye blog yangu

    Hongera sana. nimepitia LOGO zako na ni nzuri kwakweli. Nitakutafuta nikiwa nataka kuimprove LOGO ya company yangu. BIG UP
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili kwa nini TRA wako hivi

    Hata mimi niliwahi kupata hili tatizo. Lakini nilikuja kupata risiti na nilivyokuja kuangali nikagundua kuwa risit za mafuta hazina mambo ta tax ndio maana wauza mafuta wengi awataki kuangaika nazo. inadaiwa kuwa mafuta yalishalipiwa kodi. Wewe jaribu kucheck risiti utaona amna mambo ya Tax
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna duka au sehemu maalum wananunua simu zilizotumika?

    Sehemu wanazonunua used simu ni kwa mafundi simu ambao wapo sehemu kubwa ya jiji. Vile vile unaweza kucheck na maduka ya kariakoo kwani wao mara nyingi huwa wanauza used simu ambazo wameziweka cover mpya na zinaonekana kama mpya.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi Juu

    Mbezi ya tank bovu. Off Bagamoyo Road. Mtu ambaye yupo serious anatafuta nyumba anaweza kunipm nikamuonyesha. Siku ya jumamosi na jumapili
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi Juu

    Nyumba ya vyumba vitatu na sebule na jiko inapangishwa kwa Tsh 300,000 kwa mwezi kuanzia mwezi wa sita. Parking ya gari ipo. Nyumba ipo kwenye fensi. Wasiliana na mimi kama upo serious.Amna mambo ya udalali.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach

    Kuna nyumba ipo ya gorofa na inavyumba vya kulala vinne . Bei yake ni Tsh 700,000 kwa mwezi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

    Wakuu hii nyumba imeshapata mteja. Kwahiyo tuonane baada ya miezi sita kama ataongeza muda. Nawatakia siku njema na mpate nyumba isiyona matatizo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

    Nyumba ni kweli inapangishwa. Sijapata email yako naona ulikosea. Kama upo serious unaitaji nyumba basi nitumie cmu yako kwenye email yangu hili nikupigie jinsi ya kuonana na kuiona hiyo nyumba. Tumia email hii : kimandolu@hotmail.com
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

    Nyumba inapangishwa kwa mwaka. miezi sita itakuwa kwa negotiation.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

    Parking ipo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

    Nitumie msg kwenye email yangu hili tuweke kuwasiliana na uweze kuja kuiona kama utaipenda. Kumbuka hii nyumba aina pesa za mambo ya udalali. unalipa hiyo hiyo pesa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

    Nyumba ya kupanga ipo mbezi juu kupitia massana hospital (mbezi beach).Ipo kuanzia tarehe 1/3/2012. Inamaster bedroom, vyumba vingine viwili, toilet na small sitting rm. Gharama yake ni Tsh 200,000 kwa mwezi. Ipo ndani ya geti na imewekwa tiles ndani. Wasiliana kwa email : kimandolu@hotmail.com
Back
Top Bottom