Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kilakala, Feb 16, 2012.

 1. k

  kilakala Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyumba ya kupanga ipo mbezi juu kupitia massana hospital (mbezi beach).Ipo kuanzia tarehe 1/3/2012. Inamaster bedroom, vyumba vingine viwili, toilet na small sitting rm. Gharama yake ni Tsh 200,000 kwa mwezi. Ipo ndani ya geti na imewekwa tiles ndani. Wasiliana kwa email : kimandolu@hotmail.com
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Ina parking??
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Sa Kilakala mbona baada ya bandiko umetoweka? Umeenda lunch?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mtafute Digna wa JF anaitaji ila kwa miezi mitatu!
   
 5. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Nshamuandikia lakini sijui kenda lunch? Itanifaa kama atakubali kwa muda mfupi.
   
 6. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nahitaji chumba na sebule, hicho chumba kiwe ni masterbed room kinanitosha kwa vile sina familia. Nahitaji maeneo ya huko huko mbezi juu kunanifaa sana.
   
 7. M

  Mukalabamu Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Iko umbali gani toka bagamoyo road?
   
 8. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unamaanisha Short Time?
   
 9. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Huyu alikuwa anafanya maskhara. Kabandika uzi halafu katoweka wakati wenzie tuko serious. :embarassed2:
   
 10. k

  kilakala Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitumie msg kwenye email yangu hili tuweke kuwasiliana na uweze kuja kuiona kama utaipenda. Kumbuka hii nyumba aina pesa za mambo ya udalali. unalipa hiyo hiyo pesa.
   
 11. k

  kilakala Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Parking ipo.
   
 12. R

  Retreat JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ipige picha basi utuwekee. Vipi maji yapo lakini? Na hiyo 200,000/= inalipwa kwa mwaka, miezi 6, miezi 3?
   
 13. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Acha ubaguzi bac, pamoja na kupanga foleni wa kwanza hata kunijibu hutaki? :sorry: Landlord!
   
 14. k

  kilakala Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyumba inapangishwa kwa mwaka. miezi sita itakuwa kwa negotiation.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,758
  Trophy Points: 280
  Digna, ukipata maeneo ya Tegeta/Boko niPM niwe mwenyeji wako. Usimwambie mtu lakini.
   
 16. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Tegeta, Bokoo.... kweli huko mie mgeni. Ila kwa nini nisimwambie mtu? Watu watajua tu hata ukija umepanda ungo.
   
 17. M

  Mukalabamu Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hivi wewe unapangisha nyumba kweli au unatuzingua tu?email nimetuma nikaweka na namba yangu ya simu wala sikupata jibu siku ya nne hii!nikafanikiwa kupata namba ya kilakala nikakupigia ukasema wala wewe hujui hiyo nyumba!jamiiforums naona inaanza kuwa kijiwe cha masiala
   
 18. k

  kilakala Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyumba ni kweli inapangishwa. Sijapata email yako naona ulikosea. Kama upo serious unaitaji nyumba basi nitumie cmu yako kwenye email yangu hili nikupigie jinsi ya kuonana na kuiona hiyo nyumba. Tumia email hii : kimandolu@hotmail.com
   
 19. M

  Mukalabamu Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nimekutumia kwa mara ya pili
   
 20. M

  Mukalabamu Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  du!nimetuma mara mbili lakini bado sijapata jibu,kama bado ipo nishtue 0783556696
   
Loading...