Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zipuwawa, Mar 22, 2012.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ndg zangu kama kuna mtu yeyote atanisaidia kupata nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi beach hapa Dar nitashukuru nyumba iwe ni ya familia maana yake vyumba kuanzia 3 na vingine vyote muhimu katika nyumba. asanteni
   
 2. k

  kilakala Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna nyumba ipo ya gorofa na inavyumba vya kulala vinne . Bei yake ni Tsh 700,000 kwa mwezi
   
 3. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
Loading...