Nyumba inapangishwa Mbezi Juu - Goba Road

Nyumba inapangishwa Mbezi Juu - Goba Road

kilakala

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
23
Reaction score
2
Kuna nyumba inapangishwa mbezi juu Goba Road.Ina masterbed room na vyumba vya kulala viwili, sitting room ndogo na choo cha nje. Parking ya gari ipo. Maji sasa hivi yamefungwa kisiasa mpaka mambo yatakapo kaa sawa yatatoka.
Kodi ni Tsh 200,000 kwa mwezi. Kwa wali ambao serious wanaitaji ni PM. Nyumba aina gharama za dalali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom