Nadesign LOGO/ NEMBO za uhakika cheki samples kwenye blog yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadesign LOGO/ NEMBO za uhakika cheki samples kwenye blog yangu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MTAMBOKITAMBO, Jul 14, 2012.

 1. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu,mimi ni kijana mdau wa graphics.Nadesign logo,banners,websites,images...na kazi zangu ni za haraka na uhakika.Kwa wale mtakaohitaji logo ama nembo za biashara zenu msisite kuwasiliana nami.
  Tembelea blog yangu www.logozetu.blogspot.com ujionee mifano ya kazi zangu.

  email: logozetu@gmail.com

  Ahsanteni!
   
 2. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yani umeshindwa hata kuweka link ya kwenda kwenye hiyo blog yako? Nimeanza kupata wasiwasi na ubora wa kazi zako hata kabla sijafungua.
   
 3. k

  kilakala Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera sana. nimepitia LOGO zako na ni nzuri kwakweli. Nitakutafuta nikiwa nataka kuimprove LOGO ya company yangu. BIG UP
   
 4. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  dah. kijana kazi zako nziru sana nimezikubali...Mungu akujaalie na upate wateja wengi Inshaallah!
   
Loading...