Recent content by Kikwata

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

    Acha wivu wa mtoto wa kiume
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuanza kupewa Escort na Ulinzi wa TISS kwaanza kumpa kiburi Emmanuel Nchimbi

    Acha wivu maku wewe, baba yako angepata nafasi kama hiyo ungeleta uzi km huu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

    Sasa kwann uji sahaulishe chenji ya mtu?
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Point kubwa sana, narcissist dawa yake kubwa ni kumpora attention tu, wala usiumie na vitimbi vyake.. utamuona anavyo haha..
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki alieleta zegwee maskani!

    Chuo unafungua lini?
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kunielewa na yupo tayari kuachana na Mimi kisa mtumishi mwenzie

    Umejaribu kumuambia utamuongezea pesa kidogo ili apange nyumba yake mwenyewe? anza na hilo then kitakupa oicha halisi nn huyo mwanamke anataka
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

    Daud1990, Wewe ni kati ya wale watu wano faidika kwa kuwadanganya watu kuhusu Forex.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Barabara za juu Ubungo mataa mbona naona kama hazikidhi vigezo?

    Yala machuma unaya yaona ni kwa ajili ya kushikilia zege na yata ondolewa wakishajenga lami. Hivyo usipime umbali kwa kuangalia yale machuma. Yapo pale kwa mda tu ili kushikilia zege ka barabara.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mume wangu ana wivu sana, naombeni ushauri

    Umeongea pumba tupu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Shenzy wewe na mamaa yako Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Realistic toy-gun: Nifamamisheni duka linalouza Bunduki bandia

    Unaweza kuagiza online kam hiyo hapo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Realistic toy-gun: Nifamamisheni duka linalouza Bunduki bandia

    Hapana si kweli, sheria ya Tanzania inakataza kumiliki toy gun, wataalam wa sheria watanisaidia kuli elezea vizuri hili
  13. K

    JamiiForums Tanzania Athari za punyeto: Wife kasafiri, sasa ni wakati wangu wa kujitibia nguvu za kiume

    Vipi matokeo yake kwenye kupunguza kitambi? Funguka kidogo ndugu yangu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Gharama Ya Kuwa Mwanajeshi

    Sasa hapo sio swala la kufurahia, hapo ni ishu ya ki uchumi ndio ilio msukuma!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata fataki (Fireworks)

    Nashukuru sana ndugu.
Back
Top Bottom