Gharama Ya Kuwa Mwanajeshi

Gharama Ya Kuwa Mwanajeshi

Hata ningekatwa kiwiliwili na nikafa kabisa, NAPENDA SANA JESHI NI BASI TUU HUYU KAGAKA ANAZINGUA NAFASI SIKU HIZI.PTUUUUH KAGAKA TYPE !
 
Haaa haa wala hakuwa akijali kabisa yatakayojiri huko.Baada pia alichaguliwa kwenda comoro kutuliza hali ya mambo.Tunamshukuru Mungu utawala uliopita ulimkumbuka kabla ya kuondoka madarakani ulimpandisha cheo ,kutoka major mpaka Brigedia![/QUOT

Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya huwezi kutoka meja ukawa brigedia, hivi unajua cheo cha brigedia wewe?
 
Ila wenyewe wanajeshi wanafurahia vita.Kuna kaka yangu mwanajeshi,miaka ya nyuma, alikuwa kwenye mchujo wa watu wanaoenda peace keeping Siera Leone.Jamaa wasiwasi ulikuwa asikose nafasi ya kwenda ili apate mshiko.Wakati sisi tunamuombea asiende yeye anaomba aende.Alifanikiwa kwenda akarudi salama!
Sasa hapo sio swala la kufurahia, hapo ni ishu ya ki uchumi ndio ilio msukuma!
 
Ila wenyewe wanajeshi wanafurahia vita.Kuna kaka yangu mwanajeshi,miaka ya nyuma, alikuwa kwenye mchujo wa watu wanaoenda peace keeping Siera Leone.Jamaa wasiwasi ulikuwa asikose nafasi ya kwenda ili apate mshiko.Wakati sisi tunamuombea asiende yeye anaomba aende.Alifanikiwa kwenda akarudi salama!
Wakifika huko wanatumia mtutu kupata Pesa kwa raia na madukani......kuna dogo alikuwa nchini fulani ambayo Tz jeshi lipo akasema ukiachilia mbali pesa ya U.N. hela ipo tu nje nje kwa mtutu
 
Wakifika huko wanatumia mtutu kupata Pesa kwa raia na madukani......kuna dogo alikuwa nchini fulani ambayo Tz jeshi lipo akasema ukiachilia mbali pesa ya U.N. hela ipo tu nje nje kwa mtutu
Hiyo ni siri ya mtungi aijua kata mkuu
 
Haaa haa wala hakuwa akijali kabisa yatakayojiri huko.Baada pia alichaguliwa kwenda comoro kutuliza hali ya mambo.Tunamshukuru Mungu utawala uliopita ulimkumbuka kabla ya kuondoka madarakani ulimpandisha cheo ,kutoka major mpaka Brigedia!
mkuu inawezekanaje hii
 
Back
Top Bottom