Ni mda sasa toka uhamisho kusitishwa, watumishi idara mbalimbali wamekuwa wakiomba kuhama hususani kwenda kwa wapendwa wao ( wake/waume) lakini wamezuiliwa kwa hoja ya uhakiki, ebu kuweni waungwana, mbona huko juu mnahamishana kwa kusingizia dharura?, tuna hali mbaya, kumwona mke mpaka likizo...