Recent content by Kikubwa Pumzi

  1. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Mimi nimekomaa nao wamenirudishia hela yangu na nimemalizana nao mazima. Hizi sio tuhuma ni hali halisi.
  2. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Fungua page yao ya Instagram kisha soma commmets kwenye post zao alafu urudi kueleza umeona nini.
  3. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Ile ni kampuni iliyojaa uswahili sidhani kama ina watu wenye history ya kuleta matokeo chanya popote.
  4. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Haikuwa ishu ya settings ni wao na uzembe wao wa kiafrica.
  5. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Nimekomaa nao wamenirudishia 70K yangu. Ila wamenipotezea target zangu na pesa, dude lao nalitupa kabisa.
  6. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Ishu sio kuachana nao, ishu ni utapeli wanaofanya naamini watu wengi wanatapeliwa kwa namna hii.
  7. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Ndio maana nataka nione kama naweza kushtaki ili kuondoa majibu ya mazoea.
  8. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Kwa kweli ilikuwa inafanya vizuri kabla, mara ya mwisho nilitumia mwaka huu January. Baada ya hapo sikuwai itumia mpaka hii leo. Nilipata kazi ilikuwa leo kutwa nzima niifanye kisha niiwasilishe jioni hii lakini mpaka sasa nimeshafeli. Na jamaa nimeongea nao kwenye huduma kwa wateja anaongea...
  9. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Jamani, nimelipia router ya Airtel 5G, lakini mpaka sasa sipati internet kabisa. Nimewasiliana na 100, nikaambiwa kuna tatizo la mtandao lililowakumba watumiaji wote na kwamba internet itarudi, na kwamba siyo tatizo la kifaa wala ufundi. Sawa, nikasema ngoja nisubiri. Lakini cha ajabu, mpaka...
  10. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Wadau, ni kiwanja gani kizuri Dar kwa sasa? 🍻🎶

    Ni kweli. You're very very right, thanks.
  11. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Wadau, ni kiwanja gani kizuri Dar kwa sasa? 🍻🎶

    Kila ulichoandika upo sahihi ndio uhalisia wangu 1-4.
  12. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Muziki Mzuri wa Africa Umefichwa Wapi? Wajuzi Tushirikishane

    Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream. Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend. Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza: 🎵 Black Tax – Just B 🎵 Chai...
  13. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Wadau, ni kiwanja gani kizuri Dar kwa sasa? 🍻🎶

    Natafuta sehemu nzuri ya kwenda weekend na demu wangu—pawe na bia baridi, muziki mzuri na vibe nzuri, lakini sio sehemu ya kelele za kupitiliza au vibe la “kitambaa cheupe” 😂. Vigezo vyangu: 🍺 Bia iwe around TSh 3,000 — bei za kizalendo, sio 8k/10k+ kwa chupa. 🎶 Muziki mzuri — Bongo Flava...
  14. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Je, uhakika ya Ibrah ndio ni wimbo bora wa 2026 AU unabebwa na upepo tu?

    Wcb wasafi waliishia wapi ni kitambo siwasikii?
Back
Top Bottom