Hizi nafasi uwa mnaombaje mpk mnakuwa shortlisted? Ni hii hii linkedin?Habari wakuu.
Naomba mwenye taarifa, madogo walifanya usaili karibuni mwezi April. Naomba kujua kama walishaitwa kwa mwenye taarifa.
Iyo iyo mdauHizi nafasi uwa mnaombaje mpk mnakuwa shortlisted? Ni hii hii linkedin?