Recent content by kikoti007

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    mi ndugu yangu nakuongezea linanofurahisha sana wanasiasa wetu wanaposema rushwa haramu rushwa haifai hivi wanajiona kwenye tv na magazeti pale wanapochukuwa wao wanakuwa watu wengine au temp wanajigeuza @~:@~:@
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka atoa masharti mazito

    nadhubutu kusema unafik wewe na mzuri rais wako watu wake wanamtumia kudhulumu ardhi za watu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Nchimbi ni sahihi? Ni kweli polisi hawatakiwi kuingilia mikutano ya kampeni za uchaguzi?

    HAKUNA MAJADILIANO KABISAAA WAZIRI NA IGP WAJIUZURU %&^£$*&(:rant:HALAFU TUONGELEE MENGINE JK COME ON KANUMBA MBIO Mbio mpaka kitoto cha watu kinasota jela bila ya sababu, haya nimauaji haa tamko wala waziri wako na igp wao kujiuzuru pls hata ibada zak hazifai njoo bar tulewe tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naam, Lowassa si Waziri Mkuu, Rostam sio active politician sasa, Je matatizo yenu yameisha?

    We baki nahizo asilimia 90 barick washamaliza wanaondoka na mengi tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    NAKUUNGA MKONO IGP NA WAZIRI WAKE WONDOKE NDANI YA MASAA 12 HAMNA KISINGIZIO :spy:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Mzee Regnald Mengi Kuhusu VodaCom, $450 000,na Mbwa-mwitu.

    jk unachezewa mchezo na jamaa zako wa zaman ndani ya hilo chama lako wake up hao wanaokuchukia ndio wenye maslahi ya kibiashara na voda wamekupelekesha kwenye hio bila ya kujijua I HATE MUCHUZI BLOG coz never tell or show mr.p the reality kama humu ndani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mohamed Enterprises wins Libyan debt swap appeal

    membe alikuwa dalali tu wa hiko kiwanda wenyee wengine
  8. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Nimewachukia polisi kishnzi lakini hii inatokana na viongozi ndani ya ccm hawa polisi wanatumiwa kundi fulani la wanafiki hata ukisikilza habari zao utawajua na kuanzia leo siifungui tena blog ya michuzi ni ya kinafik kwa sababu jk na wapambe wake ndio blog wanayoiangalia hii habari haipo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco msituchezee akili -- maboresho yenu ya LUKU yamekwama!

    Tumechoka walopitisha hizo dill n kutuachia uchafu wao wanakula kuku kwa mrija namaluku yao ya dezo kibao eeh mwenyezi mungu nipe nchi hii kuiongoza kwa miezi sita tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete yuko mapumzikoni Serengeti

    lol memsema sana rais wangu kutangaza nchi nyingine sasa anatangaza bongo pia mnamsakama mzee hamia hollywood ukimaliza muda wako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mohamed Enterprises wins Libyan debt swap appeal

    ina maana tiot wamepigwa chini na huyo gadafi mwenyewe kishakufa hii ni dili tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania jk na mizengo pinda mmetuulia dar es salaam

    jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza matatizo tunayoyaona sassa mji moja mameya sita kuna mkuu wa mkoa mkurugenzi nae ana sauti waziri...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naitafuta gari yangu

    any news ndugu zangu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naitafuta gari yangu

    if ur not a great thinker try to be one
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naitafuta gari yangu

    nimesema hivi ndio ilivyo inavoonekana
Back
Top Bottom