Naitafuta gari yangu

Kinachoendela nadhani si msaada bali ni dhihaka na kupoteza kabisa sifa ya U-great thinker!Kama ni kumsaidia asaidiwe, hiyo gari yake pengine hakuwahi kuipiga picha na ndio maana ameweka picha ya gari inayofanana na hiyo gari yake, ni dhihaka sana kuanza kumwambia mtu anayekuomba masaada maneno ya kukatisha tamaa, geuza shilingi upande mwingine uone ingekuwa wewe ndo unaambiwa mara utafute mfukoni, mara sijui ufanye nini, jamani tuwe wastaarabu!
 
alichukua mwaname gari ilichukuliwa dar na nina imani iko dar maelezo kamili yako polisi

kama maelezo kamili yako polisi, humu JF unataka nini? Au unataka na sisi wana JF twende tukasome maelezo yako polisi halafu ndio tuje kuchangia thread yako! Ramadhani imeisha maboga yanatoka wapi humu!
 
Kinachoendela nadhani si msaada bali ni dhihaka na kupoteza kabisa sifa ya U-great thinker!Kama ni kumsaidia asaidiwe, hiyo gari yake pengine hakuwahi kuipiga picha na ndio maana ameweka picha ya gari inayofanana na hiyo gari yake, ni dhihaka sana kuanza kumwambia mtu anayekuomba masaada maneno ya kukatisha tamaa, geuza shilingi upande mwingine uone ingekuwa wewe ndo unaambiwa mara utafute mfukoni, mara sijui ufanye nini, jamani tuwe wastaarabu!


Nimeipenda hii post yako sana!
 
naomba nikuhoji ,unaiba wake za watu ,kwanini uliweka tinted nyeusi kabsa ihali ukijua watu wanataka kujua nani anaendesha gari hiyo.
 
any news ndugu zangu

Kwanza pole kwa kupotelewa na gari. Pia the information you provided is very little. We need to know: When did you give the car to that friend of yours? Before theft/loss, When and where did that friend use that car? Under what scenario did the car disappear - robbery, accident, blackmail. Also is that friend of yours around and mentally okay? If yes. He/she is the very reliable source of information.
 
kila wakati napita humu na kuwaeleza,kuwa kuna GPRS/GSM/SMS hii tracking system unatumia simu ya mkononi tena simu hizi za mkulima zinafanya kazi na ingekuwia rahisi kulipata gari lako kwa kutumia hicho kifaa hata kiwe umbari gani labda kuwe hakuna mawasiliano
T2L8iaXd0XXXXXXXXX_!!14096704.jpg
kwa sasa maji yamemwagika tukupe pole tu na atakaye weza kuipata atoe msaada huo
ila mliobaki na mnamagari system hiyo hapo bei laki 4 tu kwa PC
 
acheni ukuda nyie wenye akili fupi mnaojikweza nakujiita great thnkers...kisichoeleweka hapoo ni kipi sasa. mmeshaambiwa gari harrier limepotea plate number za gari mmepewa. na rangi na descriptions baadhi za gari zimeandikwa. mnachotaka kujua zaidi ni kipi sasa. fck u ol....
 
ila mkuu kuna kitu zaidi ya hicho unachotueleza, weka wazi maelezo yako, huenda hiyo gari unajua ilipo ila umeamua kuitangaza kwamba imeibwa kwa vile mwenye nayo kwa sasa aliichukua kwa mabavu bila idhini yako. labda ni mwanaume au mwanamke ila nadhan kuna issue ambayo wewe mwenyewe unaielewa. kwanza hukusema kama imeibwa ila umesema tuu natafuta gari yangu. maelezo yako yanafanya wanaJF wakujibu kwa masihara na kuona unaleta habari ya utani.

maelezo ya gari yanatosha na namba ya gari wazee
 
Sasa kama maelezo kamili yako polisi, polisi hawa hawa?!! sijui kama utapata ila tia bidiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom