Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
hio ndio ilivyo ina tintid nyeusi kabisa![]()
Acha ujinga wewe,picha hii gari iko chumba cha kupigia picha magari Beforward Japan. Gari yako T....AMS iweje hivi?
hio ndio ilivyo ina tintid nyeusi kabisa![]()
iko kwa macheni mwenyewe manaake nafahamiana nae
![]()
hio ndio ilivyo ina tintid nyeusi kabisa
nimesema hivi ndio ilivyo inavoonekanaAcha ujinga wewe,picha hii gari iko chumba cha kupigia picha magari Beforward Japan. Gari yako T....AMS iweje hivi?
kuna mtu humu ndani kandika kaiona kwa macheni naenda kuingalia naitafuta kama iko pale
ilipatwa na nini hadi uitafute huku jf?
Pole sana.......naona hata maelezo umeshindwa kuyaweka vizuri.
Iliibiwa Tarime au Kenya?
salaam wana jamii tafadhalini naitafuta gari yangu aina ya toyota harrier rangi ya silver namba T445AMS napatika kwenye namna hii 0716041044 au email kikoto007@gmail.com nimeshatoa ripoti polisi
mbona maelezo ya gari hili yanafanana na maelezo yaliyopo kwenye kesi ya Nyarari v/s Ms Lyimo?!, si kesi ya kudai urudishiwe gari la uchumba iko mahakamani?! Umeamua kuja kushitaki humu JF?, funy anyway!
Nyalali au NYIRABU
Ni Nyirabu, asante na nimeshafanya masahihisho.
hio ndio ilivyo ina tintid nyeusi kabisa![]()
kuna mtu humu ndani kandika kaiona kwa macheni naenda kuingalia naitafuta kama iko pale
Tuwekee picha tunaweza fananisha!! Ila kwa numba tu Itakuwa ngumu, pia Anaweza kubadilisha tu kwa kuzuga!! Sasa Umemuazima gari Hata humjui anakoishi?? You are Kidding!! Au Ilikuwa Calabash unapata moja Baridi na moto?