Tafakuri ya Mzee Regnald Mengi Kuhusu VodaCom, $450 000,na Mbwa-mwitu.

Ndio maana wanaua na kuwatesa wananchi/raia wema kila uchao. I believe we'll get over this dark hour
 
Si kheri wangesema Vifaru yaani mbwa mwitu wakati watu ata mlo ni wa magumashi
 
Mwenyekiti wa CCM anapenda mbwa mwitu zaidi kuliko wananchi wake kwahiyo lazima Vodacom wamfurahishe

Asante Mkuu. Na ukweli ndiyo maana wanatupa mabomu na risasai za moto kwa mwananchi ambaye hana hata chelewa. Na isitoshe kama mtu anajihami kwa jiwe kwa nini usitumie tear gas tu? Kweli tuogope vifo. Hizi za mbwa mwitu ndiyo priority za SSM na si unajua Rostam ni rafiki wa EL na ndiyo mafisadi? Tangu lini fisadi akamjali maskini?
 
jk unachezewa mchezo na jamaa zako wa zaman ndani ya hilo chama lako wake up hao wanaokuchukia ndio wenye maslahi ya kibiashara na voda wamekupelekesha kwenye hio bila ya kujijua I HATE MUCHUZI BLOG coz never tell or show mr.p the reality kama humu ndani
 
Mengi angalia vodacom watasitisha kuwapa matangazo kwenye kampuni za ipp media(radio/tv/news papers).
 
Kweli mwenye shibe hawezi kumkumbuka mwenye njaa May be one day chadema watatukomboa
 
As usual we smile all the way!!!

2487013_orig.jpg


And the dogs are happy too!!!

mb1.jpg



And who cares whether we have water or not

06_11_j250b3.jpg
 
Huyu Naye msanii mbona anakwepa kodi na kunyonya watumishi wake...ule mradi wananchi hawajaelezwa umuhimu wake kwa upande wa utalii una umuhimu mkubwa...Alichokisema kuhusu matatzo ya maji monduli hayahusiani na mradi husika cz vodacom wanafanya busines tatzo la maji Tanzania linamhusu kila mtu...pia kama mtanzania pesa anazomwaga kwenye uchaguz wa chama ajenge vsma vya maji kama mzee Sabodo
 
Kweli nchi hii ni ya mazingaombwe tu. Yaani kwa babu yangu zahanati haina hata kidonge kimoja wao wafazili mbwa?? hii ni dharau ya hali ya juu na bahati mbaya baba amedharauliwa na hajui kama amedharauliwa anashukuru sana tena kwa dhati.
 
Back
Top Bottom