Kauli ya Dr Nchimbi ni sahihi? Ni kweli polisi hawatakiwi kuingilia mikutano ya kampeni za uchaguzi?

Hivi Nchimbi Kitaaluma ni nani au ni sawa na John Komba? maana hana majibu makini kama mtu mwenye upeo wa juu kielimu

Nchimbi
CommonWealth Open UniversityPhD (Management)
CommonWealth Open UniversityMSc. (Management)

Sasa ndugu yangu hapo kuna PhD kweli...haya ndo wanayo yasema TCU kunahaja ya kupewa majukumu ya kufuta degree zingine...maana inawezekana hata hizo paper zake hajawahi kuzi present na kutetea PhD yake..Huende alisubmit tu juu kwa juu.Huwezi kuwa na PhD ukawa unatoa majibu ya juu juu bila hata kufikilia hatua kadha pale mbeleni
Nashangaa sijui huwa haoni TV maana baadae ukija nyumbani ukaanza kujiona unatoa majibu hovyo hata mtoto anaweza kukuuliza baba hivi yule ni wewe au mwingine
Nchimbi badilika na uwe mtu mzima na sio msaniii
 
HAKUNA MAJADILIANO KABISAAA WAZIRI NA IGP WAJIUZURU %&^£$*&:)rant:HALAFU TUONGELEE MENGINE JK COME ON KANUMBA MBIO Mbio mpaka kitoto cha watu kinasota jela bila ya sababu, haya nimauaji haa tamko wala waziri wako na igp wao kujiuzuru pls hata ibada zak hazifai njoo bar tulewe tu
 
Back
Top Bottom