Recent content by Kikokotoo

  1. Kikokotoo

    Nimekwisha na UKIMWI

    Oooh. .Kwa dunia ya Wakati huu wala usiogope. .Hata marafiki ulio nao baadhi Wanao..Kapime..Endelea kuishi Mkuu Kikokotoo!
  2. Kikokotoo

    Suzuki Swift 2006

    Asante kwa taarifa Mkuu Kikokotoo!
  3. Kikokotoo

    Pambana na hali yako

    Wakuu Kwema? Nimeona ni vema tuelezane yafuatayo kwa upole tu; 1. Kupeleka watoto Shule Wakati uchumi umeshayumba kwa sasa ni kujiumiza..Mpeleke Mtoto Shule utakayoweza kulipa..Pambana na Hali yako 2.Kuendelea kutumia usafiri Wakati hela ya Mafuta imeshakuwa adimu ni kujiumiza..Tumia usafiri wa...
  4. Kikokotoo

    Naomba ufafanuzi juu ya hizi ada za DIT

    Ingia website ya DIT then utapata Simu za chuo. .piga uulize Kikokotoo!
  5. Kikokotoo

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Oooh. .Amefikishwa 'KWAKE' Kikokotoo!
  6. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    Ukhuty; Ukitupa jiwe kichakani hayo Matokeo ni lazima. .Hahaha ukisikia paaaaaa ![emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    Mwanaume hana seal ! a.k.a utepe[emoji1] [emoji1] Kikokotoo!
  8. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] Mnatumpuzisha siyo kutuzika Kikokotoo!
  9. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    Ni kweli Luckline..Ni mtindo wa sizitaki mbichi hizi..
  10. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    We acha..Hakuna mswaki wa zamani unaotupwa na dawa ya meno ukiisha matumizi..unautumia kwanza ndio unautupilia mbali[emoji1] [emoji1]
  11. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    Wala sipo huko Mkuu. .Nimesoma fani ngumu balaa[emoji12] [emoji12]
  12. Kikokotoo

    Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

    Historia inaonyesha kwamba wanaume hawazeeki Hata akifikia umri mkubwa bado thamani yake ni Kama makinikia baada ya kuondolewa dhahabu...Ndio maana hakunaga Mabibi na Mababu ni Mabibi na Mabwana kumaanisha kuwa wanaume hawazeeki![emoji12] [emoji12] .. Sasa we Bidada endelea kujiegesha kwa Mume...
  13. Kikokotoo

    Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

    Mpaka nitakapotajwa Mie Ndio nitajua huu Uzi unamaana[emoji4][emoji4][emoji108]
  14. Kikokotoo

    Is your Ex lasts for the rest of your life?

    Kwani kuna ubaya mtu kupitia vitabu vyake alivyosoma zamani? Anyway natania tu...Weka mbali na watoto. .Nakukumbusha hakuna mkate mgumu Mbele ya CHAI!
  15. Kikokotoo

    Last night at KFC mikocheni

    Kana nyakati mwanaume unafanya Jambo Ambalo hata ubongo haushirikishwi...Akili zikija kurudi unajishangaa..Kuwaza kwa kutumia 1200 ni shida aisee! Mungu atusamehe kwa Kweli. .
Back
Top Bottom