Ni Mabibi na Mabwana! Hii ni sababu mwanaume hazeeki

Yaani endeleeni kujidanganya.. siku hizi mnafanywa sperm donors then mnatoswa wanawake wengi hawataki ndoa... wanaume wengi ni tegemezi hlf wanaendekeza kuchepuka kujitutumua... na ndo maana ndoa nyingi zimevunjika.. so wadada wameamua kuzaa idadi ya watoto mradi wawe baba mmoja baada ya hapo.. kona kali..sasa nyie endeleeni kudhani wadada hawaolewi kisa wamekosa wa kuwaoa.
Mwanaume hana seal ! a.k.a utepe[emoji1] [emoji1]

Kikokotoo!
 
Mimi ubuyu? [emoji3][emoji3]unataka nianze kushtukiwa jinsia.

Nilikuambia ukiwa na mimi jiamini. Ikitokea ban ni bahati mbaya tu.
ili umungunye bamdogo halaf hivi huna undugu na Paw kweli [emoji85] au we ndio Paw bamdogo
 
Yaani endeleeni kujidanganya.. siku hizi mnafanywa sperm donors then mnatoswa wanawake wengi hawataki ndoa... wanaume wengi ni tegemezi hlf wanaendekeza kuchepuka kujitutumua... na ndo maana ndoa nyingi zimevunjika.. so wadada wameamua kuzaa idadi ya watoto mradi wawe baba mmoja baada ya hapo.. kona kali..sasa nyie endeleeni kudhani wadada hawaolewi kisa wamekosa wa kuwaoa.
Nawenyewe wakipata tezi dume tu wanakimbiwa
 
Back
Top Bottom