It wasnt worthy t anywy!Na ulivyoandika kuna kitu umeongezeka labda?!
KKuna hela umepotea labda
Embu acha kelele siongei na wewe na ongea na meta thread.. acha umbea
nyege zako watolea wapi????hivi mara ya mwisho kuwa kwenye mahusiano sijui ni lini.sina hata hisia na mwanaume .akili zenu moja .
kwa maelezo yake hana hata miezi mitatu ndoani so umepiga teke bahati yako ya kuolewaHeeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!
Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
HahahahaHeeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!
Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
Cjui ulimwagiwa maji ya motohivi mara ya mwisho kuwa kwenye mahusiano sijui ni lini.sina hata hisia na mwanaume .akili zenu moja .
kutongozwa ndo kuwa na hisia?Kuna Jidada Humu Linasema Halina Hisia Na Wanaume Wakati Lilikua Linalilia Jamaa Halitongozi. The Thirst Is Real!!!
Ni kweli kabisaaa ila heshima muhimuUrban gentleman
In most cases matatizo ya ndoa nyingi yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na kina Dada (wake zetu) hasa pale wanaposhindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo,mwanaume ni kiumbe dhaifu sana kwa mwanamke lkn inahitaji busara,hekima na akili ktk kumteka mwanaume,kikubwa mwanaume yyt anahitaji proper treatment ya kila kitu kuanzia
1.kitandani
2.misosi
3.unadhifu
4.wazazi
5.jinsi unavyo interact na jamaa,ndg na rafiki zake
6.kuacha magubu na kufatilia visivyo vya maana
7.challenge
Na mengineyo mengi ikiwemo kila SK kutafuta mbinu za kumfanya uonekane mpya kwake na kuacha kuishi kwa mazoea