Kikokotoo
Member
- Apr 28, 2017
- 36
- 42
Historia inaonyesha kwamba wanaume hawazeeki Hata akifikia umri mkubwa bado thamani yake ni Kama makinikia baada ya kuondolewa dhahabu...Ndio maana hakunaga Mabibi na Mababu ni Mabibi na Mabwana kumaanisha kuwa wanaume hawazeeki![emoji12] [emoji12] ..
Sasa we Bidada endelea kujiegesha kwa Mume wa mtu ukidhani Muda unakusubiri..Ukija kustuka una 35! Hapo utasikia Mimi ni nani Mungu Hata nichague Mume wa kunioa..Nipe mwanaume yeyote Mungu Baba...[emoji12] [emoji12] Taa nyekundu imewaka..Waheshimu vijana wenzio ukishachuja huyo mume wa mtu anakutema kama Big G!