Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 353
- 296
Nimejaribu kupitia fees structure za DIT kwa private sponsored students,nimezisoma zote na kuzielewa.
Lakini nimeshindwa kupata jibu kama nitapokelewa endapo nitalipa ada nusu lakini nitakamilisha michango mingine yote.
Kwa wana DIT na wengineo naomba msaada juu ya hili.