Recent content by Kikojozi

  1. Kikojozi

    GE2010 Uchaguzi Tz ni kuchezea fedha

    Wakuu, Baada ya kushuhudia matukio ya wiki chache zilizopita kama vile Mrema wa TLP kuhudhuria mkutano wa CCM an CHADEMA kupokea kwa mikono miwili msaada wa fedha kutoka kwa mfanyabiashara Sabodo ambaye ni mwanachama "damu" wa CCM, nimegundua kwamba vyama vyetu vya siasa ni usanii mtupu. Pia...
  2. Kikojozi

    Udhibiti wa ubora wa bidhaa utathminiwe upya

    Kwa hili la bidhaa feki na zenye ubora hafifu, everyone must play their part. Waziri wa Viwanda na Biashara: aelimishe umma juu ya athari za kutumia bidhaa feki na zenye ubora hafifu. Pia waweke mikakati madhubuti ya kupambana na waagizaji wa hizi bidhaa za ubora mdogo. Maofisa wa vyombo...
  3. Kikojozi

    Rushwa Bungeni.. it has come to my attention...

    Solution ni kuukubali mfumo wa rushwa na kuuhalalisha. Watanzania wote tukiwa walarushwa basi rushwa itakosa mvuto na kufa kifo cha mende. Uadilifu sasa utachukua nafasi yake. Hebu fikiria tu scenario ambapo kila mtanzania ni mlarushwa. Fikiria nchi ambamo wanunuzi wote wanatembea na pesa feki...
  4. Kikojozi

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Wakenya gitu gani? Zizi tunapata kazi USA, Japan na Germany.
  5. Kikojozi

    Sophia Simba: Siasa na tendo la ndoa

    Hii mbinu ya kunyima wanaume unyumba ilibuniwa India miaka mingi sana. Kuna wanawake wa kihindi waligoma kuwapa waume zao unyumba ili kuwashinikiza waache kupigana vita. Walifanikiwa. Wanawake wa Kenya nadhani ndo walikua wakwanza kuitumia hii mbinu kama silaha ya kisiasa miaka michache tu...
  6. Kikojozi

    Rushwa Bungeni.. it has come to my attention...

    Mkuu Mwanakijiji, kwa Tanzania ya leo, hii si habari. Tell the people something they dont know.
  7. Kikojozi

    CCM ni Mtaji kwa Watanzania, ndiyo maana inapendwa kama Zimwi

    Rev, Maneno yako ni kweli kabisa. Lakini mimi naona mambo yanabadilika japo taratibu. Kadri idadi ya watanzania inavyozidi kuongezeka na utandawazi unazidi kushika kasi, Watanzania tunaanza kuwa makini. Pamoja na kua CCM itabaki madarakani, lakini lazima itabadilika. Wale Watanzania...
  8. Kikojozi

    CCM's Assault on Democracy Must Be Repelled

    Safi sana Mwanakijiji. Hii piece yako imeamsha hisia kali sana ndani yangu ambazo zimenifanya niamue kuchukua hatua. Kwa kuanzia nataka ikifika Oktoba nichague chama na viongozi ambao hawata "assault" demokrasia yetu. Kama kuna namna tutaweza (wewe, mimi na wengine walioguswa na makala yako)...
  9. Kikojozi

    GE2010 Prof Shivji aiponda Kauli Mbiu ya Rais Kikwete

    Kaulimbiu ni maneno tu. Kama yana busara tuyafanyie kazi. Kama hayana tuyapuuze tu. Lakini kaulimbiu peke yake haiwezi kutuletea uhuru wa kweli na maendeleo. Wala kuiondoa CCM madarakani hakuta leta mabadiliko (Si Kenya waliiondoa KANU......). Kutimua mafisadi na kutaifisha mali zao sio...
  10. Kikojozi

    Trafiki wa ubungo tumewachoka!

    Mkuu, endelea tu kuchoka maana siku wakiwa hawapo pale, utakufa. Mimi nawaaminia hawa jamaa. Wanajua wanachokifanya. Ukitaka kutesti zali hebu jaribu tu kupita yale makutano ya Afrika Sana pale Sinza mida ya saa 1 jioni. Halafu fikiria Ubungo itakuaje.
  11. Kikojozi

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Maoni yangu juu ya makala ya Mbwambo: 1. Caucasians ni binadamu kama sisi. Kuna mazuri yao tunaweza kujifunza na mapungufu yao tunayopaswa kuepuka. Vilevile kuna mazuri yetu sisi Negroids na non-caucasians wengine ambayo Caucasians wanaweza wakaiga. 2. Kila binadamu awe na haki na uhuru wa...
  12. Kikojozi

    Tragical Errors and Miscalulation of CCJ!

    Well said Rev.
  13. Kikojozi

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Mimi nimeishi Tanzania maisha yangu yote. Nnachosema ni kwamba, kama tunaona JK hajakomaa, basi Watanzania "hatujakomaa zaidi" ya JK.
  14. Kikojozi

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    Kama kila mtu hawezi kujishugulisha na dini yake mwenyewe, hizi dini zipigwe marufuku nchini mpaka pale tutakapo pata akili za kuelewa malengo ya hizi dini.
  15. Kikojozi

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    JK anastahili kuwa raisi wa Tanzania. Tanzania inastahili uongozi wa JK.
Back
Top Bottom