Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Mmmhh, hivi mara nyingine watu hufikiri kila mtu ni *****? NItatoa majina ya Bush na Family, Thatchers na Family, Kennedy na family and even Mtei na family.....
MBWAMBO ASOME WASIFU WA HAWA WATU (WATHINGU) NDIO ATAJUA NINI MAANA YA KUWA PIGIA CHAPUO WANAO:
List of Children of Presidents
YouTube - Malia and Sasha Obama in the White House: Doug Wead interviewed
- George Washington 1789-1797
- John Adams 1797-1801
- Thomas Jefferson 1801-1809
- James Madison 1809-1817
- James Monroe 1817-1825
- John Quincy Adams 1825-1829
[*]Andrew Jackson 1829-1837
[*]Andrew Jackson 1829-1837
- Martin Van Buren 1837-1841
- William Henry Harrison 1841
- John Tyler 1841-1845
- James K. Polk 1845-1849
- Zachary Taylor 1849-1850
- Millard Fillmore 1850-1853
- Franklin Pierce 1853-1857
- James Buchanan 1857-1861
- Abraham Lincoln 1861-1865
- Andrew Johnson 1865-1869
- Ulysses S. Grant 1869-1877
- Rutherford B. Hayes 1877-1881
- James A. Garfield 1881
- Chester Alan Arthur 1881-1885
- Grover Cleveland 1885-1889 and 1893-1897
- Benjamin Harrison 1889-1893
- William McKinley 1897-1901
- Theodore Roosevelt 1901-1909
- William Howard Taft 1909-1913
- Woodrow Wilson 1913-1921
- Warren G. Harding 1921-1923
- Calvin Coolidge 1923-1929
- Herbert Clark Hoover 1929-1933
- Franklin Delano Roosevelt 1933-1945
- Harry S. Truman 1945-1953
- Dwight David Eisenhower 1953-1961
- John Fitzgerald Kennedy 1961-1963
- John Fitzgerald Kennedy 1961-1963
- Lyndon Baines Johnson 1963-1969
- Richard Milhous Nixon 1969-1974
- Gerald Rudolph Ford 1974-1977
- James Earl Carter, Jr. 1977-1981
- Ronald Wilson Reagan 1981-1989
- George Herbert Walker Bush 1989-1993
- William Jefferson Clinton 1993-2001
- George W. Bush 2001-
Ngoshwe, nilitaka shangaa kuwa Obama ni 44th how comes wapo 44 yeye hayumo kumbe umerudia mtu
List of Presidents of the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
Tatizo lipo hapo kwenye pink UVCCM hawana kiti cha wanaume.....hoja ipo katika makala hii. Mmmmh madhara ya umaskini ni makubwa kuliko tunavyoyajua. Yote hii GS ni umaskini tu....hofu ya badae tusijie kufa njaa na kuchekwa! hakuna la zaidi....mentallity ya kimaskini inaweza kukufundisha kuwa baada ya miaka 10 unaweza ku lost hebu mweke mwanao kwenye system ili usijeumbuka fainali uzeeni au ili kama ukiharibu basi mwanao awe kwenye system watu waogope kukufix badae ...hebu fikiria mzee mwinyi leo hii angekuwa na kesi ya ufisadi mwanae ndiyo huyo mngemuanzia wapi????
Mix with yours
Sitaki kumzungumzia January kwani simjui na sina hakika kama omari anamjua au lah...ila nina hakika omary unamjua Ridhiwani kwani wakati yupo chuo wewe ulikuwepo pale...hebu niambie Ridhiwani alionyesha u competent gani pale zaidi ya kubebwa na kina Ru**** kwenye uongozi wa DARUSO....hata alipobebwa tell me akifanya nini? omary omary kuna jambo linakusukuma zaidi ya hili may be...unamjua Ridhiwani fika kuwa si lolote si chochote ila kwa maslahi unayojua unataka kupotosha ukweli.....nafsi yako inafahamu kuwa huyu mtoto hana kitu.....usiishi nyuma ya kivuli chakoNamheshimu sana Ndugu Mbwambo. Hivyo napenda kumpa zoezi moja. Ajitahidi kuwajua kina Ridhwan na January Makamba kama wao na sio watoto wa "wakubwa" halafu ndio atoe judgment yake. Pia kuhusu suala la Hussein Mwinyi na elimu yake ya udaktari, napenda kuuliza kuwa ni wanasiasa ama viongozi gani na wangapi wamesomea sayansi ya siasa ama utawala? Hivi hakuna wahandisi ambao ni mawaziri tena wa wizara tofauti na elimu zao? Hivi kaka Mbwambo katika maisha yake yote amefanya kazi ile tu inayoendana na elimu ama fani aliyosomea tu? Lakini pia yeye kama mwandishi asingependa kuona mwanawe mmojawapo anakuwa muandishi na akapata mafanikio kama yeye? Lakini pia anaposema kuwa wazungu hawapendi kubebwa anaamini hivyo ama ni njia ya kurembesha maandiko yake? Hivi kweli mfano wa mtoto wa Buffet ambaye baba yake anajulikana duniani kote kuwa ni tajiri asiye na makuu ndio uwe mfano wa wazungu wote?
Ni hayo tu...
Omarilyas
MBWAMBO ASOME WASIFU WA HAWA WATU (WATHINGU) NDIO ATAJUA NINI MAANA YA KUWA PIGIA CHAPUO WANAO:
List of Children of Presidents
YouTube - Malia and Sasha Obama in the White House: Doug Wead interviewed
- George Washington 1789-1797
- John Adams 1797-1801
- Thomas Jefferson 1801-1809
- James Madison 1809-1817
- James Monroe 1817-1825
- John Quincy Adams 1825-1829
- Andrew Jackson 1829-1837
- Andrew Jackson 1829-1837
- Martin Van Buren 1837-1841
- William Henry Harrison 1841
- John Tyler 1841-1845
- James K. Polk 1845-1849
- Zachary Taylor 1849-1850
- Millard Fillmore 1850-1853
- Franklin Pierce 1853-1857
- James Buchanan 1857-1861
- Abraham Lincoln 1861-1865
- Andrew Johnson 1865-1869
- Ulysses S. Grant 1869-1877
- Rutherford B. Hayes 1877-1881
- James A. Garfield 1881
- Chester Alan Arthur 1881-1885
- Grover Cleveland 1885-1889 and 1893-1897
- Benjamin Harrison 1889-1893
- William McKinley 1897-1901
- Theodore Roosevelt 1901-1909
- William Howard Taft 1909-1913
- Woodrow Wilson 1913-1921
- Warren G. Harding 1921-1923
- Calvin Coolidge 1923-1929
- Herbert Clark Hoover 1929-1933
- Franklin Delano Roosevelt 1933-1945
- Harry S. Truman 1945-1953
- Dwight David Eisenhower 1953-1961
- John Fitzgerald Kennedy 1961-1963
- John Fitzgerald Kennedy 1961-1963
- Lyndon Baines Johnson 1963-1969
- Richard Milhous Nixon 1969-1974
- Gerald Rudolph Ford 1974-1977
- James Earl Carter, Jr. 1977-1981
- Ronald Wilson Reagan 1981-1989
- George Herbert Walker Bush 1989-1993
- William Jefferson Clinton 1993-2001
- George W. Bush 2001-
MBWAMBO ASOME WASIFU WA HAWA WATU (WATHINGU) NDIO ATAJUA NINI MAANA YA KUWA PIGIA CHAPUO WANAO:
List of Children of Presidents
YouTube - Malia and Sasha Obama in the White House: Doug Wead interviewed
- George Washington 1789-1797
- John Adams 1797-1801
- Thomas Jefferson 1801-1809
- James Madison 1809-1817
- James Monroe 1817-1825
- John Quincy Adams 1825-1829
- Andrew Jackson 1829-1837
- Andrew Jackson 1829-1837
- Martin Van Buren 1837-1841
- William Henry Harrison 1841
- John Tyler 1841-1845
- James K. Polk 1845-1849
- Zachary Taylor 1849-1850
- Millard Fillmore 1850-1853
- Franklin Pierce 1853-1857
- James Buchanan 1857-1861
- Abraham Lincoln 1861-1865
- Andrew Johnson 1865-1869
- Ulysses S. Grant 1869-1877
- Rutherford B. Hayes 1877-1881
- James A. Garfield 1881
- Chester Alan Arthur 1881-1885
- Grover Cleveland 1885-1889 and 1893-1897
- Benjamin Harrison 1889-1893
- William McKinley 1897-1901
- Theodore Roosevelt 1901-1909
- William Howard Taft 1909-1913
- Woodrow Wilson 1913-1921
- Warren G. Harding 1921-1923
- Calvin Coolidge 1923-1929
- Herbert Clark Hoover 1929-1933
- Franklin Delano Roosevelt 1933-1945
- Harry S. Truman 1945-1953
- Dwight David Eisenhower 1953-1961
- John Fitzgerald Kennedy 1961-1963
- John Fitzgerald Kennedy 1961-1963
- Lyndon Baines Johnson 1963-1969
- Richard Milhous Nixon 1969-1974
- Gerald Rudolph Ford 1974-1977
- James Earl Carter, Jr. 1977-1981
- Ronald Wilson Reagan 1981-1989
- George Herbert Walker Bush 1989-1993
- William Jefferson Clinton 1993-2001
- George W. Bush 2001-
Mix with yours
Nakubaliana na wewe kwa haya mengine ila hili la UVCCM hapa mwandishi wa makala hakumaanisha viti maalumnu kupitia UVCCM amemaanisha kugombea ubunge kwenye jimbo kupitia jumiuya ya Vijana.Hata kwenye majimbo nako kuna sapoti la kundi la vijana au jumuiya ya wazazi au wanawake.Kwani wewe hujui kuwa hata Nchimbi alipata kupitia hili,hujui kwanini vijana wanagombania sana hata kupta nyadhifa kwenye UVCCM hata kwa kughushi,umemsahau Masauni?
Nashukuru kwa kunielewesha GS ila bado natamani shule yako hii....hapo kwenye red sijaelewa kabisa....maana nina orodha ndefu ya viongozi wa juu wa umoja wa vijana ambao si wabunge na wamegombea mara nyingi wamekwama kama kina Amina (makamu wa nchimbi) kina makala (naibu wa wakati huo) sina hakika kama Frank aligombea..ila wengi tu kina John Mongela...sijawaona wakipenya kupata ubunge kuptia UVCCM....mimii nilidhani UVCCM ni watu waliowekwa kwa maslahi ya makundi ya waliopo madarakani nao wakiwa na matumaini ya kukumbukwa siku za baadae....kazi yao ni ya kukuza makundi zaidi na maintain status quo...
Kuhusu Nchimbi nina mashaka kama unazijua siasa zake......
Mix with yours
Sitaki kumzungumzia January kwani simjui na sina hakika kama omari anamjua au lah...ila nina hakika omary unamjua Ridhiwani kwani wakati yupo chuo wewe ulikuwepo pale...hebu niambie Ridhiwani alionyesha u competent gani pale zaidi ya kubebwa na kina Ru**** kwenye uongozi wa DARUSO....hata alipobebwa tell me akifanya nini? omary omary kuna jambo linakusukuma zaidi ya hili may be...unamjua Ridhiwani fika kuwa si lolote si chochote ila kwa maslahi unayojua unataka kupotosha ukweli.....nafsi yako inafahamu kuwa huyu mtoto hana kitu.....usiishi nyuma ya kivuli chakoMix with yours
I concur with you!!! lakini hawa Ridhiwani na January.........wame-mix na za kwao kweli???
Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.
Kwa kweli nashangaa sana kumuona mtu kama Mbwambo na Ezekiel Kimwaga wanaingia katika uandishi wa aina hii. Angekuwa saidi Kubenea ningeelewa lakini not waandishi makini kama hawa wawili. Nakubali kuwa namjua Mbwambo katika maandishi yake lakini Ezekiel Kimwaga namjua zaidi na kuthamini uwezo na nidhamu yake katika fani yake. Ushwauri wangu ni kama mwanzo. Watafuteni hawa vijana na mjitahidi kuwajua wao na sio katika kioo cha wazazi wao tu....
Maoni yangu hayana uhusiano kabisa na suala la Masauni ambaye nimonana naye mara moja tu na for the first impression I reserve my comments hadi hapo nitakapojua zaidi kuhusu suala lake.😛ound:
omarilyas
Mwandishi akija na hoja hiyo ya urithi katika politics na kwa mfano aliotoa wa Caucasian Buffet,wengine watakuja na mifano ya akina Bush,Kennedy,Benigno Aquino,Corazon Aquino etc.Vipi tukihoji kwanini Engineer John Pombe Maghufuli(I like uchapaji kazi wa huyu jamaa....) apewe mas'ala ya uvuvi.
Hivi kuna siri ya kuwaweka madaktari katika wizara ya ulinzi..?Nakumbuka Prof Sarungi alipewa hii wizara,wakati jamaa ni mashine ya mifupa