kwa wasiojua michakato inatangwa kwa ushauri mgambo wa wilaya,so mikoani wanaanza mapema bt kambini ni mwezi march mwakani ata mwaka jana ilikuwa hivyo ila mie nikatoswa mishoni kabisaa
Mwezi wa pili mpz wangu aliniambia mimba imetoka ikiwa na wiki 5 na kwa mujibu wa ilo swala alisema eti amekunywa dawa cz alikuwa anaumwa tumbo,sasa alienda hospita akasafishwa na kipindi hizo mie nlikuwa safarini.Tatzo c mimba kutoka au ameamua kutoa mwenywe thn ajifanye imetoka ila toka siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.