Mwamson
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 267
- 92
tanx charminglady ila naona wengine wapo kimzaha zaidi
hata swali lako ni la kimzaha..unataka basi zuri halafu na bei iwe nzuri,ulishaoa wapi.
tanx charminglady ila naona wengine wapo kimzaha zaidi
super sammy
Kwani ni basi lipi linawahi kufika..?
Bus linalo wahi kufika ni super najimunisa ni scania achana na hao wachina. Bei ni 40000/=
Vyema muda gani linafika?
Wadau npo Mwanza na wiki ijayo nategemea kwenda Dar,sasa basi gani ni zuri kwa kusafiria ambapo bei zake ni nzuri na pia speed ni ya uhakika na hawasimami hovyo njiani.Nipeni mawazo yenu wadau....
Igembensabo ndo mpango mzimaWadau npo Mwanza na wiki ijayo nategemea kwenda Dar,sasa basi gani ni zuri kwa kusafiria ambapo bei zake ni nzuri na pia speed ni ya uhakika na hawasimami hovyo njiani.Nipeni mawazo yenu wadau....
Mimi nimetoka mwanza siku ya jumamosi juzi na super nsjimunisa tulifika kibaha saa 3 usiku, ujue kuanzia kibaha kwenda dar inategemea na foreni mkuu!!
Haliitwi super sammy,,, linaitwa super Sami.
Mimi nimetoka mwanza siku ya jumamosi juzi na super nsjimunisa tulifika kibaha saa 3 usiku, ujue kuanzia kibaha kwenda dar inategemea na foreni mkuu!!
Foleni sio foreni
Panda happy nation 710