Kwa wilaya ya kinondoni usaili umefanyika leo asubui chini ya Meja Elias na team yake.
Kulikua na vijana zaidi ya mia sita..ila walopata baati ya kupita mchujo wa kwanza ni vijana wasiozidi Mia moja
darasa la saba mpk form six
kwa wastani jumla ya idadi ya form six walochaguliwa na kupewa karatasi ya kujieleza ni 8
kidato cha 4 walikua 85
na darasa la 7 walikua 60
::::
UTARATIBU WA MCHUJO
VIGEZO VILIVYOZINGATIWA VILIKUA WAZI.
1. UMRI
Meja Elias na wafuasi wake,waliita vijana walozaliwa kuanzia mwaka 1991 1996 tu hao ndo wamefuzu vigezo na wenye juu ya hapo wote walifukuzwa bila kujali
elimu walonayo wala miezi
2.VYETI HALISI
meja Elias aliwafukuza tena vijana waliokidhi kizezo cha umri lkn hawakua na vyeti bali result slip.
Waligoma kupokea result slip kwaiyo ikapunguza idadi ya watu kwa mara nyingine ktk makundi yte matatu.
3.URAIA WA TANZANIA
iki pia kilitokea pale kuna vijana wawili waliondoshwa kwa madai ya kutokua raia wa Tz
so kwa Kinondoni icho ndo kilichojiri leo asubui uku ikishuhudia idadi kubwa ya vijana wa kikosa nafasi. Idadi yao kwa haraka ilikua ni zaiidi ya 500.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.