kwa wanaopenda kujiunga na jkt

Oct 13, 2013
13
0
nimeongea na mshauri wa mgambo leo hii ameniambia nafasi bado na bado hawajapewa taarifa kuhusu hilo.tuwe na subira nikipata taarifa soon nitaiweka humu coz nina namba ya afisa mshauli mgambo.
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,615
2,000
Ubarikiwe mwanakondoo mpakwa mafuta wa bwana aliye mawinguni.........nasimama kwa niaba ya walavumbi wote...........tuseme ...................amen
 
Oct 13, 2013
13
0
kila mahari wavimba macho wapo na maanisha wasiopenda lolote lile kwa mwingine wakatisha tamaa maneno kwa binadamu kawaida wamezaliwa wanasema.kuto kukata tamaa kwa lile unalolihitaji ni siraha tosha tutaendelea pambana pamoja.
 

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
170
Asante bt kwa wilaya ya moshi mjini tayari imetangazwa kwa nlivyoambiwa na wenyeji wa kule
 

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Kwa ufupi baadhi ya mikoa mchakato umeshaanza! Sijui wewe upo mkoa gani
 

MKILINDI

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
384
250
He! Kumbe tena ni mikoa kwa mikoa? Doh uku dar sijui ni mwakani
kila mkoa huwa wanachukua watu 100 ila dsm huwa wanachukua watu 300 kila wilaya huwa watu 100 ila bado nafasi huwa hazitoshi kwa dar. nirahisi kwa mikoani kuliko dar ingawa imepewa idadi kubwa
 

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
597
250
kila mkoa huwa wanachukua watu 100 ila dsm huwa wanachukua watu 300 kila wilaya huwa watu 100 ila bado nafasi huwa hazitoshi kwa dar. nirahisi kwa mikoani kuliko dar ingawa imepewa idadi kubwa

Ok, ila kama ni kweli hii michakato imeanza basi wamefanya kimya kimya
 

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
170
kwa wasiojua michakato inatangwa kwa ushauri mgambo wa wilaya,so mikoani wanaanza mapema bt kambini ni mwezi march mwakani ata mwaka jana ilikuwa hivyo ila mie nikatoswa mishoni kabisaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom